Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

unakuwa raia mara nyingi kipindi cha Kikwete walikuwa wanaenda kukaa maofisini...
Magu alikataa naona Mama kaamua kutoa vijana wake mtaani...
Wao wanalipana lesion sijui ma per deim wanafanya majukumu mengi nje na kazi zao.

Wewe unakomaa na mshahara tena wa halmashauri kuna jamaa yangu clinical officer yuko pale Dodoma analia njaa tu.

Polisi Tamisemi iliyochangamka
 
kumbe ndo tabia zao basi na sisi tunawakataa
Tunawaacha.

Mm nakomaa na huu Uzi mpaka waniite kazini.

Siku nikiliona jina langu.
°mshahara wote natoa malimbuko sad aka
°migiro nitaenda na suti nikifika yule dada atakaenipa barua nitampa elfu 10 ya soda.
°sitapokea simu yeyote siku hiyo Maana sitakuwa na cha kueleza kwenye mateso ya kusubiri pdf hawakuwa na mimi

°nikienda kuripoti kazini sitaki mazoea.
°uwekezaji na miradi kwa Sana.
 
🤣 🤣 dah
 
Nina wadau wangu wengi wameajiriwa nimebaki mimi pekee yangu.

Wengi wananioneaga huruma tu.

Ila mm nachukulia kawaida.
Itafika tu siku yako, kuwa mvumilivu na weka tumaini kwa Mungu pekee ila pia usichoke kujaribu tena na tena

Leo tu Julai 12 wanangu kadhaa wamelamba asali tena kwenye taasisi zilizokwenda shule

Cha msingi kuendelea kupambana


Mi nilisikilizia sana, ila mkeka ulivyotiki nilienda Dom huku siamini (ofcoz nilishakuwa mwenyeji kiaina maana nilipiga sana ruti za usaili😂😂)


Ila yote kwa yote, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…