Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Polisi siwapendi wabaguzi sana kwa watumishi wasio wanajeshi.Mmh hao hapana wanaweza kukupangia lindo
Mwaka jana utumishi waliwapelekea watu wakawakataa mimi siwapendi na wasinipange huko hata kama database