El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
aisee mie jitu la ivyo nalipotezea mazima bora asingekupigia simu uende iyo saa 4Tunaishi nao kwa akili kaka
hhahhahahahhah umeenda direct kwenye outcomesMtego huo..utakufa maskini
Epuka sana kutatua ugomvi wa ndugu...watakuroga ufe....hhahhahahahhah umeenda direct kwenye outcomes
sawa kiongozi nitalifanyia kaziEpuka sana kutatua ugomvi wa ndugu...watakuroga ufe....
Sikwenda niliona bora nilale nje tuaisee mie jitu la ivyo nalipotezea mazima bora asingekupigia simu uende iyo saa 4
achana nae mwanga uyoSikwenda niliona bora nilale nje tu
Majobless wenye ndugu dodoma tunateseka, ukifikia kwao kero ukifikia mtaani lawama, shida tupu, ila aisee! Msemacho ni kweli, ndugu hukuthamini ukiwa na kitu, ukiwa huna mbele wala nyuma hakuna kabisa heshimaSikwenda niliona bora nilale nje tu
Kwaiyo kama umeona umepata kazi mala wamelitoa so unakuwa unakazi Kwa dakika then unarudi ujoblessdah wamelitoa tena
Waliweka mkeka audah wamelitoa tena
Huu ndo mwezi ambao Mikeka mingi itatoka mwezi huuoya leo mapema tu
waliweka alafu aufunguki wameutoa itakua kuna tatizoWaliweka mkeka au
watarudisha tu itakua kunashida maana lilikua halifungukiKwaiyo kama umeona umepata kazi mala wamelitoa so unakuwa unakazi Kwa dakika then unarudi ujobless
Vipi kuna taasisi umeliona jina langu nianze safari leo?waliweka alafu aufunguki wameutoa itakua kuna tatizo
Watu mna moto walai jamani tupate kazi wakuuwatarudisha tu itakua kunashida maana lilikua halifunguki