Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu tusidharau interview mwaka jana kuna interview ilihitaji watu watano mm nikagoma kwenda nikaja kwenda ya watu 50.

Ninavyoongea hivi utumishi mpaka leo wanachukua database ile ya watu sita ambapo oral walifanya watu 80.

Yetu oral tulifanya 150 wanaigusa kwa kujisikilizia.
 
Back
Top Bottom