El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
aah wangekaa nalo tuNdo hilo hpo walilolitoa
Baya halfu jamaa wanaupendeleo wamekomaa na database ya MDA LGA wakati database lina watu kama woteaah wangekaa nalo tu
Yaani ni hatari, mpaka nguvu imeniishaaah wangekaa nalo tu
wanajikota wamesoma cubaYaani pdf ya tar 10.11,12,13 wangeziunganisha ziwe moja kuliko SIASA zao.
Utumishi wamepoteza mvuto
Hilo ni lidata base la MDA&LGA soon tuna lion a jina lakowanajikota wamesoma cuba
yaani kada yetu tunaiona kwa manati naona ndo wameachi pdf sasa hivi webHilo ni lidata base la MDA&LGA soon tuna lion a jina lako
IT hausiki kabisa, yeye anapewa maelekezo tu tena unaweza kuta kazi inafanywa na sekretari!Tumpongeze sana IT...kaupiga mwingi ...usishukuru ukipata tu, ata ukikosa shukuru sababu ndio database inasogea hivyo
yeyote yule anaehusika...kongole kwakeIT hausiki kabisa, yeye anapewa maelekezo tu tena unaweza kuta kazi inafanywa na sekretari!
mkuu na wewe unamatumaini ya kupata kazi utumishiIT hausiki kabisa, yeye anapewa maelekezo tu tena unaweza kuta kazi inafanywa na sekretari!
Nilifanya interview watu 1000 Dodoma aisee moyo wangu uliogopaYn kuna interview mtu yuko pekee yake yan hapo n kucheza kwenye 50% zao tuu hakuna competition kubwa.
Halafu kuna interview mko 200+ [emoji17] yn mpaka unaona uvivu kwenda ht kama interview inafanyika mkoa uliopo
Inakatisha tamaa knoma, Februari interview yangu tulikuwa 27 wanahitajika 4 yn nilienda tuu mana nilipata pesa ya ghafla wakat uleNilifanya interview watu 1000 Dodoma aisee moyo wangu uliogopa
Inaumiza mm nimechoka interview wala sizihitaji japo hamna budi.Inakatisha tamaa knoma, Februari interview yangu tulikuwa 27 wanahitajika 4 yn nilienda tuu mana nilipata pesa ya ghafla wakat ule
Hizi si ndio zimejaa kwenye portal kwa sasa au mimi ndio sielewi...Vipi kuhusu ajira za watendaji wa kata mwenye taarifa za ndani, vipi nazo zinaweza patikana miezi hii?
We kichaa sijui una certificate ya nini?!!!mkuu na wewe unamatumaini ya kupata kazi utumishi
Mtendaji wa kata anakua na degree, hao watendaji wa mtaa wana certificateHizi si ndio zimejaa kwenye portal kwa sasa au mimi ndio sielewi...