Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaani pdf ya tar 10.11,12,13 wangeziunganisha ziwe moja kuliko SIASA zao.

Utumishi wamepoteza mvuto
 
Tumpongeze sana IT...kaupiga mwingi ...usishukuru ukipata tu, ata ukikosa shukuru sababu ndio database inasogea hivyo
 
Yn kuna interview mtu yuko pekee yake yan hapo n kucheza kwenye 50% zao tuu hakuna competition kubwa.

Halafu kuna interview mko 200+ 😔 yn mpaka unaona uvivu kwenda ht kama interview inafanyika mkoa uliopo
 
Yn kuna interview mtu yuko pekee yake yan hapo n kucheza kwenye 50% zao tuu hakuna competition kubwa.

Halafu kuna interview mko 200+ [emoji17] yn mpaka unaona uvivu kwenda ht kama interview inafanyika mkoa uliopo
Nilifanya interview watu 1000 Dodoma aisee moyo wangu uliogopa
 
Back
Top Bottom