Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wao wameona wanaweza kufanya hivyo na wakazimudu, hofu yako nini? Kwani sekretarieti ya ajira iliundwa kushughulikia watu Gani?
At list diploma n above kupunguza makazi maana kila ukiamka asubuhi dereva mtendaji kumbu kumbu mambo gani haya au ndio siasa zenyewe
 
At list diploma n above kupunguza makazi maana kila ukiamka asubuhi dereva mtendaji kumbu kumbu mambo gani haya au ndio siasa zenyewe
Kwani na wewe ni mtumishi wa sekretarieti ya ajira? Hata hivyo hupaswi kuwabagua watu Kutokana na elimu zao. Binafsi sioni changamoto yoyote ikiwa sijawasikia wahusika wanaosimamia zoezi hili wakilalamika kuzidiwa na kazi katika utekelezaji wa majukumu yao waliopewa kwa mujibu wa Sheria. Wewe kuwa mpole kama ipo basi IPO Tu haijalishi nini.
 
Samahani usinifokeee
 
dah kmmmk tusio na marefa tunasota tu
 
Samahani usinifokeee
Unafokewa au unaambiwa ukweli, wewe unafikiri hawapo humu hao unaotaka wapotezewe na utumishi kwa kuwaona hawastahili kusimamiwa na sekretarieti ya ajira? Unafikiri wanajisikiaje Kutokana na dhana yako potofu ya kibaguzi. Unajiona mtu wa kundi maalumu Sana na hiyo degree yako moja. Unafikiri wao ndiyo wanazuia ridhiki yako kupata ajira kupitia sekretarieti ya ajira? Hebu kaa kwa kutulia kiongozi.
 
Utakuwa jobless ww sio kwa hizo hasira🤣🤣😂
 
Mkuu nataka niombe hizo post aisee vip naweza tumia chet cha six pekee
 
Haya maisha kweli ni mitihani aisee kila kitu mtihani nimesoma darasa la kwanza hadi chuo bado hawaamini tu mpka nifanye tena mtu🤣🤣🤣
Hauna budi kuukubali ukweli na kuukabili. Miaka ya 2013 kushuka chini Kada ya kilimo walikua wanaajiri kwa kufuata alphabet. Walianza na A wakaishia L, mwaka uliofuata wakaanza kufanya usahili. Sasa fikiria unaitwa Zuberi kwa wakati ule ungekuwa na hali Gani. Hivyo mchakato wa usahili ni mzuri Tu, vyema ukajianda vizuri.
 
Haaahahah mkuu hii nchi imepitia mengi sana kwa kutumia alphabet duu
 
Mkuu sasa hivi mambo yamebadilika ni connection sana na rushwa kwa wingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…