Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila utumishi.

Watu tumepambana interview mwaka jana Oktoba, 2023 hadi oral tukafika.

Cha ajabu nafasi tulizofanyia nterview szimetangazwa tena from tamisemi. Je inamana database haifanyi kazi?

Ila utumishi, ila Tanzania.
ukiona wametangaza tena it means hakukua na database it means walichukua watu wao hao wengine mlipewa thank you for coming.tangazo si hua linasema kabisa mliokosa hawamkufaulu hivyo msisite kuomba tena muonapo tangazo au huwa usomi mpaka mwisho :ALERTA::ALERTA:
 
Mkuu sasa hivi mambo yamebadilika ni connection sana na rushwa kwa wingi sana
Sina tafiti za kupinga ukisemacho lakini kupitia jukwaa hili Kuna shuhuda kadhaa za watu waliobahatika kupata ajira pasipo na vyote ulivyotaja. Jambo la msingi ni kujianda vyema na kuukabili usahili Huku ukiamini. Binafsi nimepiga sahili kadhaa mpaka ya mwisho ikanipatia kazi pasipo connection wala rushwa.
 
Ilikua hivyo ulizia watu wa Kada ya kilimo miaka tajwa hapo juu watakupa ushuhuda zaidi.
Daa mie na GPA ya 2.6 ya political sciance na wanangu wote wa UDOM tuendelee kulima matikiti tulishe jobless wenzetu
Sina tafiti za kupinga ukisemacho lakini kupitia jukwaa hili Kuna shuhuda kadhaa za watu waliobahatika kupata ajira pasipo na vyote ulivyotaja. Jambo la msingi ni kujianda vyema na kuukabili usahili Huku ukiamini. Binafsi nimepiga sahili kadhaa mpaka ya mwisho ikanipatia kazi pasipo connection wala rushwa.
Ni kweli pia watu waliopata wengi hawasemi ukweli jinsi walivyopata wengine wanaopokea rushwa ni ndugu zetu vijana wenzetu rushwa za aina mbali mbali. Kikubwa zaidi ni kujiandaa vizuri kumuomba Mungu over
 
Daa mie na GPA ya 2.6 ya political sciance na wanangu wote wa UDOM tuendelee kulima matikiti tulishe jobless wenzetu
Ni kweli pia watu waliopata wengi hawasemi ukweli jinsi walivyopata wengine wanaopokea rushwa ni ndugu zetu vijana wenzetu rushwa za aina mbali mbali. Kikubwa zaidi ni kujiandaa vizuri kumuomba Mungu over
Usijenge dhana hiyo akilini mwako, ukishakuwa na dhana hiyo inakupunguzia motives za kupambana. Hebu jaribu kufanya screening ya watu unaowajua ambao wamepata ajira kupitia sekretarieti hali zao za kiuchumi na familia zao. Utagundua wapo ambao hata milo mitatu ya siku kwao ilikua ni tatizo.
 
Daa mie na GPA ya 2.6 ya political sciance na wanangu wote wa UDOM tuendelee kulima matikiti tulishe jobless wenzetu
Ni kweli pia watu waliopata wengi hawasemi ukweli jinsi walivyopata wengine wanaopokea rushwa ni ndugu zetu vijana wenzetu rushwa za aina mbali mbali. Kikubwa zaidi ni kujiandaa vizuri kumuomba Mungu over
kama uko vizuri kisiasa unaanzia hata uvccm uko kimzahamzaha mara paaap mkuu wa mkoa unaanza kupiga watu spana..
 
A
Mkuu achana na story za vijiweni....hakuna mambo hayo we pambana tu kiume..BTW
Private kuna connection lkn ukipata utatamani uache, kazi za connection zinamanyanyaso sana
Acha tu mkuu way back dsm kampuni x mbona niliziacha hela hata siku ya kupumzika unapigiwa simu maswala ya kazi upo kazini muda wote maneno kisa umesing ka mkataba kao
 
Kazi za connection wanaweza madem tu...wanaume ni udhalilishaji
 
Ila jobless mna matusi makali aisee 🤣🤣🤣🤣🤣,mithiri ya manual labourers WA kwenye viwanda vya wahindi .
Hizi ngumi humu ni kama za enzi zile za majobless ambao walikuwa na stress ,Akina Kyagata na wenzake wale ,nadhani karibia wote washapata Placement
Mwifwa njoo
 
watu wanafunguka utazani tanesco wananyanyua nguzo 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom