bjhjhj
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 207
- 398
ukiona wametangaza tena it means hakukua na database it means walichukua watu wao hao wengine mlipewa thank you for coming.tangazo si hua linasema kabisa mliokosa hawamkufaulu hivyo msisite kuomba tena muonapo tangazo au huwa usomi mpaka mwishoIla utumishi.
Watu tumepambana interview mwaka jana Oktoba, 2023 hadi oral tukafika.
Cha ajabu nafasi tulizofanyia nterview szimetangazwa tena from tamisemi. Je inamana database haifanyi kazi?
Ila utumishi, ila Tanzania.

