🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,Utumishi kama wachawi vile ,nasikia ukiota Placement Ndio hupati kabisakuna watu wanaraha jamani just imagine sasa hivi kuna watu wanakaribia chalinze wameweka vishoka karibu na dereva pale uelekeo dom dah hio furaha yake unaweza kumrukia dereva shingoni aisee..
ulitumwa usomee umeme hukuona civil🤣 🤣 🤣Mimi Jobless sugu ngoja nilale.kwanza nipumzishe fuvu huku nikiota Placement .
Ila Utumishi hii tabia yao ya kuitisha interview halafu hawatoi Placement aisee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dingi aliniambia usipo soma Electrical Engineering nisione uso wako hapa kwangu na tusijuane kuanzia leoulitumwa usomee umeme hukuona civil🤣 🤣 🤣
haya mwambie akupe hele ya subaru sasa kama ataweza maana ye ndo chanzo🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dingi aliniambia usipo soma Electrical Engineering nisione uso wako hapa kwangu na tusijuane kuanzia leo
Nikaona haya makubwa tena.
Nikafyata mkia
Ataniitia polisi 🤣🤣🤣🤣haya mwambie akupe hele ya subaru sasa kama ataweza maana ye ndo chanzo
mie hapa natamani hata niuze nyumba siku nikijua hati zilipo wamekwishaAtaniitia polisi 🤣🤣🤣🤣
Anawaambia kuna jobless likibaka flani hivi linanitishia maisha ,linasema mpaka nilipe Subaru mpya ,zero km
Oral ulifanyia mkoa gani?SIKU NAENDA KUCHUKUA BARUA YA UTUMISHI,
nakumbuka siku naenda kuchukua barua kuna ndugu yangu mmoja yupo dodoma ni bamdogo ofcoz, nilimpigia cm kumuomba nifikie kwake ili kesho asubuhi kuna mambo yangu nayafatilia, nilifanya kumficha kama naenda kuchukua barua ya kuripoti kazini, sikumwambia naenda kufanya nini maana huwa anajua nafanya tu interview then narudi dsm. Huwezi amini yule mzee aliniambia kasafiri lakini hakuwa kasafiri, jioni taarifa ilisambaa sanaaaa kwa ndugu ikiwemo yeye, usiku saa 4 alinipigia cm niende ila nilishaamua nilale nje ili asubuhi niamkie Asharose, kwaiyo nilipakia shabiby nikafika saa 12 jioni dom nikaomba nilale pale ofisini kwao hadi kesho niondoke maana sikuwa na ela ya kulala gesti.
kuhusu yule mzee nilimjibu tu nimepata sehemu nyingine kwa rafiki yangu kwaiyo nitalala uko. Ila kwa yote ayo sikuwa najutia nilijua ni mapito tu. Asubuhi nilitafuta daladala hadi pale njia panda bahati nzuri nikakutana na mzee mmoja anatembea kwa mguu nikaomba anielekeze hadi ofisi ya utumishi akaniambia naye anapita njia iyo iyo tukaelekea nae kwa mguu ni mbali ila nilikuwa sichoki kutembea maana ninachokifata ni jambo la maana sanaaa na lenye furaha sanaaaa kwangu. sikuwa na njaa wa kiu toka jana saa 12 nile kwenye basi sikuwa na fikra nyingine yoyote zaidi ya kupata barua yangu. Tulitembea sanaaaaa kama ushachukua barua ya utumishi ukipanda daladala unashushwa njia panda then pale unaweza kuchukua bodaboda hadi kwenye iyo ofisi yao. Tulitemebea na yule mzee toka apo mpka ofisi ya utumishi na mimi sikuwa nimechelewa sanaaaaaa nilifika kati ya mtu wa tano ivi au sita tukawasubiri na wengine wafike ili barua zitoke kwa pamoja. Hakuna furaha niliipata kama iyo siku naambiwa fungua barua yako uangalie kama majina yako yako sawa, aise kuna raha sanaaaaaaa.
Sasa yule mzee ananitafuta hadi leo niende tu nimsalimie maana baadae niliwasiliana na mwanae akaniambia baba katoka ila atarudi nikamwambia msalimie tu nitatafuta siku nije kuwaona. ila mtu wa kweli kwenye maisha yako ni mzazi/mlezi, mke/mume na wadogo zako wa tumbo moja au familia moja.
Nenda kimya kimya fanya ishu zako sepa, hamna haja ya kutoa taarifa kuwa unaenda mkoa/mji alipo yeyeMajobless wenye ndugu dodoma tunateseka, ukifikia kwao kero ukifikia mtaani lawama, shida tupu, ila aisee! Msemacho ni kweli, ndugu hukuthamini ukiwa na kitu, ukiwa huna mbele wala nyuma hakuna kabisa heshima
Hahahahaa, uzi huwa unapitia vipindi tofauti tofauti sanaIla jobless mna matusi makali aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mithiri ya manual labourers WA kwenye viwanda vya wahindi .
Hizi ngumi humu ni kama za enzi zile za majobless ambao walikuwa na stress ,Akina Kyagata na wenzake wale ,nadhani karibia wote washapata Placement
Mwifwa njoo
Ujobless unachosha aisee...alafu unafanya uwe na hasira mtu akiongea utumbo unamshushia tusiHahahahaa, uzi huwa unapitia vipindi tofauti tofauti sana
Akina kyagata, Yankule(kashabadili ID kwa sasa) walikuwa hawakopeshi maneno ila baada ya placement wakapotea kwenye uzi
Hv practical interview napo n Dodoma au siyo 😔Oral ulifanyia mkoa gani?
Wale ambao mnaenda kwenye oral(kwa sasa ambapo written ni Online halafu wewe ni Me) kama unamudu room za 10k hadi 15k, kalale kwenye hizo room, kama huwezi kuzimudu kalale stand kama alivyofanya huyu jamaa ili kuepuka adha za kufikia nyumbani/geto kwa watu iwe mtu wa aina yeyote yule.
Kingine, hustle za kimya kimya ni nzuri sana ili kuepusha kelele zisizokuwa na maana kwa Walimwengu.
Waache waje wafurahie ushindi baadae na hapo ndipo utaona watakapokupa heshima kama zote.
Hakikisha hukati tamaa kwenye kupambana.
Huwa popote watakapopangaHv practical interview napo n Dodoma au siyo [emoji17]
Kwanza mm naendaga saa 2 usiku asubuhi Niko dodoma naunga Utumishi usiku nakesha chako ni chako nasubiri majibu nikimaliza oral huyo dar na Nina ndugu kama wote dodomaNenda kimya kimya fanya ishu zako sepa, hamna haja ya kutoa taarifa kuwa unaenda mkoa/mji alipo yeye
H kwenda Dom usiku na kufika asubuhi moja kwa moja kwenda kufanya interview nataka kuifanya next interview kama ntaitwa ila nawaza sana kama nikichelewa itakuaje.Kwanza mm naendaga saa 2 usiku asubuhi Niko dodoma naunga Utumishi usiku nakesha chako ni chako nasubiri majibu nikimaliza oral huyo dar na Nina ndugu kama wote dodoma
🤣🤣🤣🤣 Jinga wewe, umrukie dereva si myakufa🤣kuna watu wanaraha jamani just imagine sasa hivi kuna watu wanakaribia chalinze wameweka vishoka karibu na dereva pale uelekeo dom dah hio furaha yake unaweza kumrukia dereva shingoni aisee..