Kweli mkuu kuna classmate wangu kaniambia huko TRC njaa sana, nadhani biashara ikichanganya watakaa sawaTRC njaa kali sana kama halmashauri
Kusikitika na kuumia roho ni kama unataka kujihesabia haki ..nakushauri mimina tu moyo wako kwa Mwenyezi MunguMoyo unaumia kila nikifungia Uzi nakutana na majina ya mengi kwa kada yangu.
Najiuliza je mimi sistahili kuwepo hapo.
Mapambano yangu ni ya muda mrefu mpaka umefika sehemu watu wengine imekuwa kejeri kwao kwa kuniita mzee wa interview.
Dear Lord nakutegemea nakuamini.
Na mm napitia hayo hayo ndugu kwani umesomea kada ganiMoyo unaumia kila nikifungia Uzi nakutana na majina ya mengi kwa kada yangu.
Najiuliza je mimi sistahili kuwepo hapo.
Mapambano yangu ni ya muda mrefu mpaka umefika sehemu watu wengine imekuwa kejeri kwao kwa kuniita mzee wa interview.
Dear Lord nakutegemea nakuamini.
TawileLeo linatoka na nimoooo.
Sema hallelujah ✅
AmenLeo linatoka na nimoooo.
Sema hallelujah [emoji736]
Bado mpk saa kumi na moja hv..Nadhani siku leo imeisha wajameni.
Daah Alhamdulilah ilaNadhani siku leo imeisha wajameni.
Muda bado IT anaweza inua watu dakika za jioni kabisaaaDah tumechinjwa leo
Yawezekana wakatupia uwezi juaUkisha ona unaingia k wenye mfumo haufunguki ujue kuna ka pdf ukiona inafunguka chapu [emoji38][emoji38] hamna kitu wangetupa hata moja ya weekend
Mikeka inaendajeUzi umepoa sana
Sio Leo wala kesho hao kukaa sawaKweli mkuu kuna classmate wangu kaniambia huko TRC njaa sana, nadhani biashara ikichanganya watakaa sawa
Wewe uliyekosa TRC ndo unatakiwa uwe na shukran, TRC ni trap Jichanganye tu🙈🙈🙈TRC ni Njaa kikubwa Shukuru Mungu kunawengine tulikosa Hizo TRC na tunajikanda moyo muwe nashukrani
Inaumiza sana mkuu. Ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Amini utalamba asali siku sio nyingiYaani kila siku huwa najiuliza au kwasababu huwa napost humu JF kuhusu kupata ajira hizi za utumishi ndio maana kila pdf likitoka sioni jina langu.
Lakini bado sijakata tamaa naamini MUNGU atatenda miujiza na mm jina langu litatokea kwy pdf ya placement Ameen.
Utumishi pia kama kuna namna tunawakosea humu tunaombe mtusamehe sisi ni watoto wawakulima ni mihemko tu, tunaomba sana wakuu(PSRS) mtuonee huruma, inauma sana unapoona mliofanya nao interview wanapata ajira alafu ww kila pdf haoni jina lako.
U better stay jobless?Wewe uliyekosa TRC ndo unatakiwa uwe na shukran, TRC ni trap Jichanganye