Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau mwenye uelewa wa hii issue tafadhali.
Mfano mtumishi umepata placement mwezi wa nne ulipoenda kuripoti kwa mwajiri mpya wakakwambia uombe mwenyewe kibali cha uhamisho kwa Katibu mkuu utumishi kupitia mwajiri wako wa awali. Ukaandika barua ya kuomba kibali cha kuhama kutoka mwajiri wako wa sasa kwenda mwajiri mpya ulipopata Placement. Hadi kufikia leo mwezi wa nane kibali hakijatoka na mwaka wa fedha umeisha June 30. Kibali kikitoka ni mwaka wa fedha mpya huu ulioanza July. Je ile nafasi bado itakuwepo kule au ndio figisu zitaanza.
Karibuni kwa michango yenu wenye uzoefu.
 
Mkuu hii ishu yako ni personal, nakushauri uwapigie utumishi au uende physically kuulizia utumishi
 
Duuu jmn,ngoja waje wenye uelewa ila kwanini jmni aya mambo yanakua hivi🤔😟😔
 
Mkuu hii ishu yako ni personal, nakushauri uwapigie utumishi au uende physically kuulizia utumishi
Ahsante mkuu kwa ushauri wako.
Ngoja tuone michango wengine. Naamini pia issue yangu wengi itawakuta huko mbele
 
RAI[emoji91]

Kumekuwa na wimbi la watu wanaokatisha sana tamaa kwenye huu Uzi.

Nadhani ulianza kwa lengo nzuri lakini hivi karibuni trending yake imepoteza mvuto.

Lugha zimekuwa sio rafiki tena kwa kumtoa moyo tena msaka ajira.

Wengi wamekuwa wakiwakatisha tamaa watu ambao hata hawaelewi mchakato.

Negative mind zimekuwa nyingi sana.

Niwaombe tusitoke kwenye kusudi la Uzi.
 
Nafasi inaweza ikawepo na isiwepo, kama watapata mtu ambaye haihitaji hizo process zote au ameshazikamilisha kwanini wamuache waendelee kukusubiri wewe??? Hii ndo Ile "Hoping for the best but expecting the worst"
 
Me nilipata placement kwenye taasisi A mwez wa 12 mwaka jana nikiwa mtumishi wa umma tayari, Mwajiri mpya akanipa maelekezo kama uliyopewa wewe...Nimekuja kupata barua ya KM-Utumishi ya uhamisho July 2024 now nipo kwa mwajiri mpya. So cha kufanya push barua yako ya uhamisho iwahi kutoka utumishi usijali kuhusu nafasi.
 
You 25+ yrs and waiting for public to sympathize with you??? Nobody cares about you or how you feel, I'm sorry but that's the reality. Stay in your lane, fight your battle without having entitlement so that if someone joins you then it's ok if they don't it's even fine. You want to be pampered!!!!
 
Unaelewa chimbiko la huu Uzi.

Unajua kupitia huu Uzi wangapi wameshiriki kwe usaili.

Unajua wangapi wamepata kazi kupitia hii Uzi.

Unadhani wangapi wanaendelea kunufaika na huu Uzi.

Una nini kingine cha kuhoji?
 
pinacoladee yaani mpaka sasa siamini kama umetutoka aisee. nadhani mpaka sasa mshahara ushauzoea. 🤣 🤣
 
Unaelewa chimbiko la huu Uzi.

Unajua kupitia huu Uzi wangapi wameshiriki kwe usaili.

Unajua wangapi wamepata kazi kupitia hii Uzi.

Unadhani wangapi wanaendelea kunufaika na huu Uzi.

Una nini kingine cha kuhoji?
Wananufaika kwa kusoma na kujiandaa na usahili, we unataka uonewe huruma sijui upewe maneno ya faraja 😂😂😂 haitasaidia. I used to have that victimization mentality and it didn't get me anywhere
 
Wananufaika kwa kusoma na kujiandaa na usahili, we unataka uonewe huruma sijui upewe maneno ya faraja [emoji23][emoji23][emoji23] haitasaidia. I used to have that victimization mentality and it didn't get me anywhere
Mzee sijui umetokea wapi.

Kama wakina @mwifa wangekuwa na Kutiana Moyo kwa kishamba unavyotaka wewe tusingefika.

Kwenye kusoma Hapo na kufanya usaili kuna Neno la Faraja kutiana moyo nadhani wewe ni miongoni mwa watu niliowaongelea juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…