No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Kalipa nae maana alichoka kusoma ushauriAkuandas kitambo sema 😀😀Kafanya ku paste mbona alichokiandika kipo mitandaoni hakuna mpya hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalipa nae maana alichoka kusoma ushauriAkuandas kitambo sema 😀😀Kafanya ku paste mbona alichokiandika kipo mitandaoni hakuna mpya hapo
Mkuu hii ishu yako ni personal, nakushauri uwapigie utumishi au uende physically kuulizia utumishiWadau mwenye uelewa wa hii issue tafadhali.
Mfano mtumishi umepata placement mwezi wa nne ulipoenda kuripoti kwa mwajiri mpya wakakwambia uombe mwenyewe kibali cha uhamisho kwa Katibu mkuu utumishi kupitia mwajiri wako wa awali. Ukaandika barua ya kuomba kibali cha kuhama kutoka mwajiri wako wa sasa kwenda mwajiri mpya ulipopata Placement. Hadi kufikia leo mwezi wa nane kibali hakijatoka na mwaka wa fedha umeisha June 30. Kibali kikitoka ni mwaka wa fedha mpya huu ulioanza July. Je ile nafasi bado itakuwepo kule au ndio figisu zitaanza.
Karibuni kwa michango yenu wenye uzoefu.
Eeh bora umemwambia😂😂😂,anasahau kwamba watu ukilamba asali wanakuuliza ebu tupe siri ya mafanikio nasi tunajibu technique zile zile hakuna mpya sasa nielezee zingine wakati ni zile zile tu labda namna ya kuzielezeaKalipa nae maana alichoka kusoma ushauri
Duuu jmn,ngoja waje wenye uelewa ila kwanini jmni aya mambo yanakua hivi🤔😟😔Wadau mwenye uelewa wa hii issue tafadhali.
Mfano mtumishi umepata placement mwezi wa nne ulipoenda kuripoti kwa mwajiri mpya wakakwambia uombe mwenyewe kibali cha uhamisho kwa Katibu mkuu utumishi kupitia mwajiri wako wa awali. Ukaandika barua ya kuomba kibali cha kuhama kutoka mwajiri wako wa sasa kwenda mwajiri mpya ulipopata Placement. Hadi kufikia leo mwezi wa nane kibali hakijatoka na mwaka wa fedha umeisha June 30. Kibali kikitoka ni mwaka wa fedha mpya huu ulioanza July. Je ile nafasi bado itakuwepo kule au ndio figisu zitaanza.
Karibuni kwa michango yenu wenye uzoefu.
Acha kabisa, yani kupata kazi ni kazi na kuhama ni kazi zaidi.Duuu jmn,ngoja waje wenye uelewa ila kwanini jmni aya mambo yanakua hivi🤔😟😔
Ahsante mkuu kwa ushauri wako.Mkuu hii ishu yako ni personal, nakushauri uwapigie utumishi au uende physically kuulizia utumishi
hiyo siyo Muhimu sababu hutafukuzwa kazi due to lack of competency. I can help in regards to interview preparations.Safi mkuu...
Tupe ABC huko serikalini DBA anafanya kazi kama zilizo ainishwa kwenye job description au anakuwa IT technical support
Nafasi inaweza ikawepo na isiwepo, kama watapata mtu ambaye haihitaji hizo process zote au ameshazikamilisha kwanini wamuache waendelee kukusubiri wewe??? Hii ndo Ile "Hoping for the best but expecting the worst"Wadau mwenye uelewa wa hii issue tafadhali.
Mfano mtumishi umepata placement mwezi wa nne ulipoenda kuripoti kwa mwajiri mpya wakakwambia uombe mwenyewe kibali cha uhamisho kwa Katibu mkuu utumishi kupitia mwajiri wako wa awali. Ukaandika barua ya kuomba kibali cha kuhama kutoka mwajiri wako wa sasa kwenda mwajiri mpya ulipopata Placement. Hadi kufikia leo mwezi wa nane kibali hakijatoka na mwaka wa fedha umeisha June 30. Kibali kikitoka ni mwaka wa fedha mpya huu ulioanza July. Je ile nafasi bado itakuwepo kule au ndio figisu zitaanza.
Karibuni kwa michango yenu wenye uzoefu.
Me nilipata placement kwenye taasisi A mwez wa 12 mwaka jana nikiwa mtumishi wa umma tayari, Mwajiri mpya akanipa maelekezo kama uliyopewa wewe...Nimekuja kupata barua ya KM-Utumishi ya uhamisho July 2024 now nipo kwa mwajiri mpya. So cha kufanya push barua yako ya uhamisho iwahi kutoka utumishi usijali kuhusu nafasi.Wadau mwenye uelewa wa hii issue tafadhali.
Mfano mtumishi umepata placement mwezi wa nne ulipoenda kuripoti kwa mwajiri mpya wakakwambia uombe mwenyewe kibali cha uhamisho kwa Katibu mkuu utumishi kupitia mwajiri wako wa awali. Ukaandika barua ya kuomba kibali cha kuhama kutoka mwajiri wako wa sasa kwenda mwajiri mpya ulipopata Placement. Hadi kufikia leo mwezi wa nane kibali hakijatoka na mwaka wa fedha umeisha June 30. Kibali kikitoka ni mwaka wa fedha mpya huu ulioanza July. Je ile nafasi bado itakuwepo kule au ndio figisu zitaanza.
Karibuni kwa michango yenu wenye uzoefu.
You 25+ yrs and waiting for public to sympathize with you??? Nobody cares about you or how you feel, I'm sorry but that's the reality. Stay in your lane, fight your battle without having entitlement so that if someone joins you then it's ok if they don't it's even fine. You want to be pampered!!!!RAI[emoji91]
Kumekuwa na wimbi la watu wanaokatisha sana tamaa kwenye huu Uzi.
Nadhani ulianza kwa lengo nzuri lakini hivi karibuni trending yake imepoteza mvuto.
Lugha zimekuwa sio rafiki tena kwa kumtoa moyo tena msaka ajira.
Wengi wamekuwa wakiwakatisha tamaa watu ambao hata hawaelewi mchakato.
Negative mind zimekuwa nyingi sana.
Niwaombe tusitoke kwenye kusudi la Uzi.
Unaelewa chimbiko la huu Uzi.You 25+ yrs and waiting for public to sympathize with you??? Nobody cares about you or how you feel, I'm sorry but that's the reality. Stay in your lane, fight your battle without having entitlement so that if someone joins you then it's ok if they don't it's even fine. You want to be pampered!!!!
pinacoladee yaani mpaka sasa siamini kama umetutoka aisee. nadhani mpaka sasa mshahara ushauzoea. 🤣 🤣Ndugu zangu nafasi zilizotoka si haba,Nadhan na nyingine nyingi zitatoka,si vibaya ukaanza kujiandaa ukasoma materials yako basing na job description utapata areas za kufocus zaidi,kama kuna magroup au unaweza ukaanzisha WhatsApp group mkajisomea naamini watu wana materials ya kutosha hasa ukikutana wa kada moja na kupeana moyo,wengine mnaweza ata mkameet face to face for discussion ata mara 2 au 1 kwa wk au zaid kulingana na mtakavyokubaliana na mkashare kwa wngine ambao wapo mbali au wanashindwa kukutana,discussion zinasaidia mno,kingine kwenye oral interview za PSRS maswali meng yanabase kwenye job description kulingana na kada husika,na most of the questions utaambiwa umention na sometimes short explanation tena labda kama wanahitaji kujua uelew wako zaid au point wakitak kuelew zaid ulichosema,swali linalohitaj ujielezee sana ni swali la kwanza la tell us about yourself ambalo lina base kwnye education background na professional yako na baada ya kuelezea apa unaweza ukafinalize kwa kusema kwa nini unatak hii kazi na jinsi ulivyo competent au skills gani uko nazo zinazofanya uwe bora kwa kazi hiyo. Lakini pia wazungu wanasema hivi confidence comes from good preparation,so kujiandaa ni bora zaidi,wengine bhn wako vizuri na maswali yanaweza kua simple but wanashindwa kupresent walichonacho mbele za watu,unaweza kujifanyia self practice unajitazama kwenye kioo au unajirecord uku unazungumza,au km una wadogo zako,marafiki au unaweza ukawa unazungumz au wanakusikiliza😂,na pia kwenye interview usijitenge sana meet na watu unaangalia wenzio wana nini naamini kuna vitu unaweza ukagain namaanisha usijitenge sana otherwise unajiamini na ulichonacho kichwani,ila sio mbaya ukajimix au ukawa na mtu mmoja mnashare mawili matatu,au umix na wngine ,Nway tusiache kumuomba Mungu atusimamie kwenye hizi hussle.
Kaka mimi na wewe.pinacoladee yaani mpaka sasa siamini kama umetutoka aisee. nadhani mpaka sasa mshahara ushauzoea. [emoji1787] [emoji1787]
Duh anyway sawahiyo siyo Muhimu sababu hutafukuzwa kazi due to lack of competency. I can help in regards to interview preparations.
Wananufaika kwa kusoma na kujiandaa na usahili, we unataka uonewe huruma sijui upewe maneno ya faraja 😂😂😂 haitasaidia. I used to have that victimization mentality and it didn't get me anywhereUnaelewa chimbiko la huu Uzi.
Unajua kupitia huu Uzi wangapi wameshiriki kwe usaili.
Unajua wangapi wamepata kazi kupitia hii Uzi.
Unadhani wangapi wanaendelea kunufaika na huu Uzi.
Una nini kingine cha kuhoji?
Mzee sijui umetokea wapi.Wananufaika kwa kusoma na kujiandaa na usahili, we unataka uonewe huruma sijui upewe maneno ya faraja [emoji23][emoji23][emoji23] haitasaidia. I used to have that victimization mentality and it didn't get me anywhere
Bado bhn mshaharapinacoladee yaani mpaka sasa siamini kama umetutoka aisee. nadhani mpaka sasa mshahara ushauzoea. 🤣 🤣