Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaa.[emoji23][emoji23][emoji23]Utabili wangu haujawahi kufeli[emoji23]
Endelea kula upepo hapo kando ya bahari mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa.[emoji23][emoji23][emoji23]Utabili wangu haujawahi kufeli[emoji23]
Mwisho wa mwez tusubir tuone🤗pinacoladee ntumie buku rafiki angu ntakufa
Mwanangu sana Marabioshpinacoladee ntumie buku rafiki angu ntakufa
Hautaweza kubadili, na hauruhusiwi kutoa qualifications uliyoiweka.Wakuu msaada ukiwa umesoma bachelor na ukaweka Cheri Cha bachelor ajira portal pale baadae ukasoma diploma ya kitu inawezekana kutoa Chet Cha bachelor kwenye qualifications na ukaweka Cha diploma na ukaweka kuapply kazi Kwa Chet Cha diploma msaada wakuu
Mkuu hata nikienda ofisini kwao hawawezi kunisaidiakutoa Chet Cha bachelor nikaweka cha diploma au ndio inakuwai imeshatoka hiyoHautaweza kubadili, na hauruhusiwi kutoa qualifications uliyoiweka.
Labda uanze kwa kuweka cheti cha Diploma bila kuweka cheti cha Degree halafu ndio uombe kazi ya Diploma.
NB: Ukiweka cheti cha Diploma na Degree, utaweza kuomba nafasi za Degree pekee
Hii kweli kaka 🙌 Nimeuza Ghetto langu kabisa, sema Father House alikaza nimlipe kodi nzima miezi mitatu yote ijayo kuanzia janaKwa mnaoendelea kuingia kundini, pindi unapoambiwa na mwajiri rudi kwanza home na utapigiwa simu/kujulishwa siku rasmi ya kwenda kuanza kazi.
Kama ulikuwa na kijiwe, usiage kijiweni kabla hujaitwa na Mwajiri kwenda kuanza kazi.
Waajiri wengine ni miyeyusho wanatumia muda mrefu kukamilisha taratibu za ajira.
Kutoacha kijiwe kabla hujaitwa itakuepusha na msoto ambao ungeupata pindi endapo ungeacha kijiwe.
**** watu waliwahi kufanya hivyo baadae wakaanza kujuta.
Kajaribu kwenda ofisini kwao.Mkuu hata nikienda ofisini kwao hawawezi kunisaidiakutoa Chet Cha bachelor nikaweka cha diploma au ndio inakuwai imeshatoka hiyo
Naomba kuuliza , hivi huwa ni mpaka upigiwe simu au siku 14 za kusubiria zikiisha unaweza kwenda tu mwenyewe?Kwa mnaoendelea kuingia kundini, pindi unapoambiwa na mwajiri rudi kwanza home na utapigiwa simu/kujulishwa siku rasmi ya kwenda kuanza kazi.
Kama ulikuwa na kijiwe, usiage kijiweni kabla hujaitwa na Mwajiri kwenda kuanza kazi.
Waajiri wengine ni miyeyusho wanatumia muda mrefu kukamilisha taratibu za ajira.
Kutoacha kijiwe kabla hujaitwa itakuepusha na msoto ambao ungeupata pindi endapo ungeacha kijiwe.
Kuna watu waliwahi kufanya hivyo baadae wakaanza kujuta.
Hebu tulia Kisha andika vizuriWakuu msaada ukiwa umesoma bachelor na ukaweka Cheri Cha bachelor ajira portal pale baadae ukasoma diploma ya kitu inawezekana kutoa Chet Cha bachelor kwenye qualifications na ukaweka Cha diploma na ukaweka kuapply kazi Kwa Chet Cha diploma msaada wakuu
Wewe haujaelewa au mihemko.Hebu tulia Kisha andika vizuri
Punguza shobo mtoto wa kiume utapakatwa siku si nyingi.Wewe haujaelewa au mihemko.
Umekuwa T pain nowdayzKimewaka [emoji91]
Hapana, ila n nyie mnavotupiana maneno na huyo mwenzio mpaka mmefikia kuambiwa utapakatwaUmekuwa T pain nowdayz
Sasa mbona umetuambia kimewaka.Hapana, ila n nyie mnavotupiana maneno na huyo mwenzio mpaka mmefikia kuambiwa utapakatwa
nambie mwanangu kwema ukoo.miwa inauzika🤣 🤣Mwanangu sana Marabiosh