Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa hapo bado interview
 
sawa sawa mkuu nimekupata, asante sana.😀
 
Address inatakiwa iwe simple tu.
 
Attachments

  • Address.png
    11.3 KB · Views: 7
Bunge ni muhimili unaojitegemea mkuu. Ndio maana kazi za mahakama haziji PSRS. Ukiona hivyo bunge limeipa PSRS kandarasi ya kuratibu mchakato wa ajira kwa niaba yake. In short PSRS ni serikali ni tofauti kabisa na ajira za bunge au mahakama.

Wewe umesema barua zote zinazopita PSRS zina address ya katibu. Mimi nimekwambia sio zote. Unaanza narratives 😁

So bora ungequalify statement yako ukasema barua zote za executive.

Kila siku ni fursa ya kujifunza kitu kipya kutoka kwa wengine
 
Hii ndio anwani sahihi.

Kwa kifupi inatakiwa ufuate maelekezo jinsi walivyoelekeza
 
Mlioitwa kwenye Mkando wa mjengoni, nendeni mkapambane ipasavyo hadi kieleweke.

Usiache kwenda kwenye usahili wowote unapoitwa kama hauna sababu muhimu ya kukufanya usiende
Hivi ikitokea umefaulu usaili wa kazi zaidi ya moja kwa kipindi tofauti kulingana na tarehe za usaili inakuwaje mkuu
 
Wewe umesema barua zote zinazopita PSRS zina address ya katibu. Mimi nimekwambia sio zote. Unaanza narratives 😁

So bora ungequalify statement yako ukasema barua zote za executive.

Kila siku ni fursa ya kujifunza kitu kipya kutoka kwa wengine
Nimekupata vema. Haya twende tukaongeze received huku tukiombea mkeka utiki.
 
Hivi ikitokea umefaulu usaili wa kazi zaidi ya moja kwa kipindi tofauti kulingana na tarehe za usaili inakuwaje mkuu
Utapangiwa kituo cha kazi sehemu moja kati ya hizo ulizofaulu hasa ile ya mwanzo.

Baada ya kupata ile nyingine unawapisha wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…