Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Ahsante mkuu nimeona kumbe adress ni ya utumishiPakua tangazo www.ajira.go.tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu nimeona kumbe adress ni ya utumishiPakua tangazo www.ajira.go.tz
Sasa hapo bado interviewNi kweli ulikosea kwenye anuani uliyoambiwa andika kama ilivyo
Usiweke maneno ambayo hayapo
MDA &LGA yamefuata nn hapo?
unayemuandikia barua ni katibu mkuu wa psrs na hayupo MDA & LGA
Anuani inaonesha ofisi ilipo, mkuu jitahidi kuandika kilichoandikwa usiweke utopolo mwingine ukiamini unaonesha ufundi wa uandishi😁😁
Ukipewa anuani we fanya ku copy and paste kama ilivyo pale kwenye Tangazo
Hahah, siku nyingine andika ile iliyopo kwenye tangazo la kazi.Lilikua nayo ni hiyo ya juu, Ndio mara ya kwanza ku-apply kwahiyo tunaiga tu (address) ya mfano wa barua mtu aliokutumia haahaha.
Bila shaka deadline bado, hvy nenda ukabadilisheNdio maana tunauliza ili tusikosee
Nishabadili mkuu nilituma kwa TET niligoogle nikaletewa hiiBila shaka deadline bado, hvy nenda ukabadilishe
sawa sawa mkuu, nimejifunza.Hahah, siku nyingine andika ile iliyopo kwenye tangazo la kazi.
sawa sawa mkuu nimekupata, asante sana.😀Ni kweli ulikosea kwenye anuani uliyoambiwa andika kama ilivyo
Usiweke maneno ambayo hayapo
MDA &LGA yamefuata nn hapo?
unayemuandikia barua ni katibu mkuu wa psrs na hayupo MDA & LGA
Anuani inaonesha ofisi ilipo, mkuu jitahidi kuandika kilichoandikwa usiweke utopolo mwingine ukiamini unaonesha ufundi wa uandishi😁😁
Ukipewa anuani we fanya ku copy and paste kama ilivyo pale kwenye Tangazo
Bunge ni muhimili unaojitegemea mkuu. Ndio maana kazi za mahakama haziji PSRS. Ukiona hivyo bunge limeipa PSRS kandarasi ya kuratibu mchakato wa ajira kwa niaba yake. In short PSRS ni serikali ni tofauti kabisa na ajira za bunge au mahakama.Sio zote. Inategemea na mwajiri
View attachment 3068575
Address inatakiwa iwe simple tu.Msaada wakuu, anwani (picha ya kwanza) ya kazi za wiki iliyopita (MDAs & LGAs). Mimi niliandika hivyo (picha ya chini) lakini kuna mtu kaniambia nimekosea kwa kuongeza hiyo MDA & LGA, na Asha rose migiro building. Je Address naiandika kama ilivyo juu na siongezi chochote au?. View attachment 3068596View attachment 3068595
Bunge ni muhimili unaojitegemea mkuu. Ndio maana kazi za mahakama haziji PSRS. Ukiona hivyo bunge limeipa PSRS kandarasi ya kuratibu mchakato wa ajira kwa niaba yake. In short PSRS ni serikali ni tofauti kabisa na ajira za bunge au mahakama.
Asante sana.Address inatakiwa iwe simple tu.
Hii ndio anwani sahihi.Msaada wakuu, anwani (picha ya kwanza) ya kazi za wiki iliyopita (MDAs & LGAs). Mimi niliandika hivyo (picha ya chini) lakini kuna mtu kaniambia nimekosea kwa kuongeza hiyo MDA & LGA, na Asha rose migiro building. Je Address naiandika kama ilivyo juu na siongezi chochote au?. View attachment 3068596View attachment 3068595
Hivi ikitokea umefaulu usaili wa kazi zaidi ya moja kwa kipindi tofauti kulingana na tarehe za usaili inakuwaje mkuuMlioitwa kwenye Mkando wa mjengoni, nendeni mkapambane ipasavyo hadi kieleweke.
Usiache kwenda kwenye usahili wowote unapoitwa kama hauna sababu muhimu ya kukufanya usiende
View attachment 3068795Hii ndio anwani sahihi.
Kwa kifupi inatakiwa ufuate maelekezo jinsi walivyoelekezaView attachment 3068741
Nimekupata vema. Haya twende tukaongeze received huku tukiombea mkeka utiki.Wewe umesema barua zote zinazopita PSRS zina address ya katibu. Mimi nimekwambia sio zote. Unaanza narratives 😁
So bora ungequalify statement yako ukasema barua zote za executive.
Kila siku ni fursa ya kujifunza kitu kipya kutoka kwa wengine
Nimekupata vema. Haya twende tukaongeze received huku tukiombea mkeka utiki.
Utapangiwa kituo cha kazi sehemu moja kati ya hizo ulizofaulu hasa ile ya mwanzo.Hivi ikitokea umefaulu usaili wa kazi zaidi ya moja kwa kipindi tofauti kulingana na tarehe za usaili inakuwaje mkuu
Fuatilia uzi hautaondoka patupuView attachment 3068795
Msikosee anuani watu oooh!! Naona watu mnalamba tu asali embu nipeni code za kulamba asali tusiwe wachoyowa maarifa
Sasa kama ile ya pili ndio yenye mtonyo wa kueleweka na usaili nimepita inakuwaje au naweza kuhamaUtapangiwa kituo cha kazi sehemu moja kati ya hizo ulizofaulu hasa ile ya mwanzo.
Baada ya kupata ile nyingine unawapisha wengine.