Utakuwa umejuaje kuwa umefaulu hy yenye mtonyo mrefu?Sasa kama ile ya pili ndio yenye mtonyo wa kueleweka na usaili nimepita inakuwaje au naweza kuhama
Mkuu hadi sasa nna recieved 5 kati ya hizo 3 zina mtonyo angalau kuliko hizi 2 sasa inakuwaje nikaitwa kuperfom hata mbili zenye viwango tofautiUtakuwa umejuaje kuwa umefaulu hy yenye mtonyo mrefu?
Mkuu focus kwanza kwenye maandalizi ya interview upate kazi. Hayo mambo ya mshahara sio ya kuwazia kwa sasa.Mkuu hadi sasa nna recieved 5 kati ya hizo 3 zina mtonyo angalau kuliko hizi 2 sasa inakuwaje nikaitwa kuperfom hata mbili zenye viwango tofauti
Na nilitanguliza za mshahara mdogo
Ahsante kwa ushauri mkuu,Mkuu focus kwanza kwenye maandalizi ya interview upate kazi. Hayo mambo ya mshahara sio ya kuwazia kwa sasa.
Usaili kawaida ni takribani miezi mitatu baada ya deadline ya kufanya maombi ya kazi husika. Mara chache sana mchakato kuwahi kuanzia wiki nane minimum.Kwa wale walioomba ajira za afya mwezi July 2024 usahili ni lini.
Na maswali gani wanapenda kuyauliza kwenye usahili wa kada za afya
Natanguliza shukrani
Shukrani sana boss kubwa na hizi Aptutude test ni lazima uende dodoma au unaweza ukatwist kituo unachotaka ufanyie hizi aptitude test.Usaili kawaida ni takribani miezi mitatu baada ya deadline ya kufanya maombi ya kazi husika. Mara chache sana mchakato kuwahi kuanzia wiki nane minimum.
Kuhusu maswali jiandae na multiple choice tu mkuu. Aptitude tests ni za kichawi chawi, ni kila kitu kinachohusiana na kada yako. Soma vizuri job description yako. Best wishes
OkAhsante mkuu nimeona kumbe adress ni ya utumishi
Nadhani hukunielewa hapo mwanzo kuwa sikuona tangazo ila niliona kwenye ajira portal wameweka nafasi za editor na curriculum developerOk
Jitahidi uwe unasoma matangazo tena lote mpaka chini sehemu ya masharti ya jumla
Maana msomi ni ajabu kuuliza kitu kilichoandikwa na kuelezwa kwenye tangazo
Siku nyingine hapa www.ajiraportal.go.tz ni kwa ajiri ya kuingia kwenye akaunt yako ili uapply kaziNadhani hukunielewa hapo mwanzo kuwa sikuona tangazo ila niliona kwenye ajira portal wameweka nafasi za editor na curriculum developer
Note that kwenye ajira portal huwa wanaonesha kuwa muajiri ni taasisi ya elimu Tanzania ila hawatoi anuani ya kutuma maombi
Hapa ndio ikafanya niulize kuwa address ni ya TIE au utumishi?
Na pia nikamuomba anitumie na tangazo kama analo na ndio ukanitumia wewe link ya tangazo
Sasa hapo kosa liko wapi mkuu? Au kuuliza ndio kosa na kufanya niwe sina elimu au elimu haijanisaidia kitu?
Sawa but mkuu,Siku nyingine hapa www.ajiraportal.go.tz ni kwa ajiri ya kuingia kwenye akaunt yako ili uapply kazi
Na tovuti ya psrs www.ajira.go.tz hapa wanaweka matangazo yote ya kazi ambazo ndo hizo unazoziona ajiraportal,pia matangazo ya kuitwa kwa usaili, bila kusahau majina ya kuitwa kazini (placement)
Weka mazoea ya kupitia tovuti mara kwa mara utapata update zote hapo
Achana na kitambulisho cha NIDA, tafuta barua ya utambulisho kutoka ofisi ya mtaa.Wakuu, Msaada!!
Hivi kama tarehe ya kuzaliwa kwenye Nida ni tofauti na tarehe ya kuzaliwa kwenye cheti cha kuzaliwa hii inaweza kuleta shida mpk mti akazuiwa kufanya usaili??
Na ww uache ujuaji unaombaje kazi bila kusoma tangazo na unaelekezwa hautaki kuelewa.Sawa but mkuu,
Siku nyingine nawewe usipende kuwasema kuwa watu hawana elimu kisa kuuliza vitu muhimu kwenye application hizi, kuna wengine ni ugeni tu ila sio kuwa hawana elimu
Kuuliza sio ujinga, ujinga ni kukosa kazi kwa kutouliza wazoefu wa kazi
All in all ahsante kwa tovuti
Tangazo ndio nililoomba mwenye nalo anitumie hapo nikiwa kwenye process za kuomba na wala sikubisha chochoteNa ww uache ujuaji unaombaje kazi bila kusoma tangazo na unaelekezwa hautaki kuelewa.
Barua anayeandikiwa ni KATIBU Ikipitia utumishi yeye ndo anaajiri
Umerekebisha kwanza barua.Tangazo ndio nililoomba mwenye nalo anitumie hapo nikiwa kwenye process za kuomba na wala sikubisha chochote
Sema wazoefu kwenye mfumo mnatuona tusio wazoefu mambwiga mbwiguke na tukiomba kuelekezwa twaambiwa shule tumefuata nini
But mkuu, nishaelewa kama kuna received nyingine ya kuongeza nistue
Nisharekebisha mkuu hadi sasa nina recieved 8 nawaza nikiitwa zote itakuwajeUmerekebisha kwanza barua.
Usijisikie mnyonge kaka Jf ndo ilivyo
karibu kwenye uzi wa walamba asaliNisharekebisha mkuu hadi sasa nina recieved 8 nawaza nikiitwa zote itakuwaje
Hahahhah wajuba wanakuelekeza kwa kukunanga
Kwenye maisha ukiwa hujui kitu, bc kubali kuelekezwa kwa njia yoyote ile ht kwa makofi cha msingi ni upate hitaji lako.Nisharekebisha mkuu hadi sasa nina recieved 8 nawaza nikiitwa zote itakuwaje
Hahahhah wajuba wanakuelekeza kwa kukunanga