Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utakuwa umejuaje kuwa umefaulu hy yenye mtonyo mrefu?
Mkuu hadi sasa nna recieved 5 kati ya hizo 3 zina mtonyo angalau kuliko hizi 2 sasa inakuwaje nikaitwa kuperfom hata mbili zenye viwango tofauti

Na nilitanguliza za mshahara mdogo
 
Kwa wale walioomba ajira za afya mwezi July 2024 usahili ni lini.
Na maswali gani wanapenda kuyauliza kwenye usahili wa kada za afya

Natanguliza shukrani
 
Usaili kawaida ni takribani miezi mitatu baada ya deadline ya kufanya maombi ya kazi husika. Mara chache sana mchakato kuwahi kuanzia wiki nane minimum.

Kuhusu maswali jiandae na multiple choice tu mkuu. Aptitude tests ni za kichawi chawi, ni kila kitu kinachohusiana na kada yako. Soma vizuri job description yako. Best wishes
 
Shukrani sana boss kubwa na hizi Aptutude test ni lazima uende dodoma au unaweza ukatwist kituo unachotaka ufanyie hizi aptitude test.
 
Wakuu, Msaada!!
Hivi kama tarehe ya kuzaliwa kwenye Nida ni tofauti na tarehe ya kuzaliwa kwenye cheti cha kuzaliwa hii inaweza kuleta shida mpk mti akazuiwa kufanya usaili??
 
Ok
Jitahidi uwe unasoma matangazo tena lote mpaka chini sehemu ya masharti ya jumla
Maana msomi ni ajabu kuuliza kitu kilichoandikwa na kuelezwa kwenye tangazo
Nadhani hukunielewa hapo mwanzo kuwa sikuona tangazo ila niliona kwenye ajira portal wameweka nafasi za editor na curriculum developer

Note that kwenye ajira portal huwa wanaonesha kuwa muajiri ni taasisi ya elimu Tanzania ila hawatoi anuani ya kutuma maombi

Hapa ndio ikafanya niulize kuwa address ni ya TIE au utumishi?

Na pia nikamuomba anitumie na tangazo kama analo na ndio ukanitumia wewe link ya tangazo

Sasa hapo kosa liko wapi mkuu? Au kuuliza ndio kosa na kufanya niwe sina elimu au elimu haijanisaidia kitu?
 
Siku nyingine hapa www.ajiraportal.go.tz ni kwa ajiri ya kuingia kwenye akaunt yako ili uapply kazi

Na tovuti ya psrs www.ajira.go.tz hapa wanaweka matangazo yote ya kazi ambazo ndo hizo unazoziona ajiraportal,pia matangazo ya kuitwa kwa usaili, bila kusahau majina ya kuitwa kazini (placement)

Weka mazoea ya kupitia tovuti mara kwa mara utapata update zote hapo
 
Sawa but mkuu,

Siku nyingine nawewe usipende kuwasema kuwa watu hawana elimu kisa kuuliza vitu muhimu kwenye application hizi, kuna wengine ni ugeni tu ila sio kuwa hawana elimu

Kuuliza sio ujinga, ujinga ni kukosa kazi kwa kutouliza wazoefu wa kazi

All in all ahsante kwa tovuti
 
Wakuu, Msaada!!
Hivi kama tarehe ya kuzaliwa kwenye Nida ni tofauti na tarehe ya kuzaliwa kwenye cheti cha kuzaliwa hii inaweza kuleta shida mpk mti akazuiwa kufanya usaili??
Achana na kitambulisho cha NIDA, tafuta barua ya utambulisho kutoka ofisi ya mtaa.

Hata hivyo kinachoangaliwa ni majina sahihi, sijawahi kusikia wamekagua tarehe za kuzaliwa
 
Sawa but mkuu,

Siku nyingine nawewe usipende kuwasema kuwa watu hawana elimu kisa kuuliza vitu muhimu kwenye application hizi, kuna wengine ni ugeni tu ila sio kuwa hawana elimu

Kuuliza sio ujinga, ujinga ni kukosa kazi kwa kutouliza wazoefu wa kazi

All in all ahsante kwa tovuti
Na ww uache ujuaji unaombaje kazi bila kusoma tangazo na unaelekezwa hautaki kuelewa.

Barua anayeandikiwa ni KATIBU Ikipitia utumishi yeye ndo anaajiri
 
Tangazo ndio nililoomba mwenye nalo anitumie hapo nikiwa kwenye process za kuomba na wala sikubisha chochote

Sema wazoefu kwenye mfumo mnatuona tusio wazoefu mambwiga mbwiguke na tukiomba kuelekezwa twaambiwa shule tumefuata nini

But mkuu, nishaelewa kama kuna received nyingine ya kuongeza nistue
 
Umerekebisha kwanza barua.

Usijisikie mnyonge kaka Jf ndo ilivyo
 
Back
Top Bottom