Rukundo JB
Senior Member
- Jan 30, 2019
- 156
- 387
Achana na kitambulisho cha NIDA, tafuta barua ya utambulisho kutoka ofisi ya mtaa.
Hata hivyo kinachoangaliwa ni majina sahihi, sijawahi kusikia wamekagua tarehe za kuzal
Thanks champ...Achana na kitambulisho cha NIDA, tafuta barua ya utambulisho kutoka ofisi ya mtaa.
Hata hivyo kinachoangaliwa ni majina sahihi, sijawahi kusikia wamekagua tarehe za kuzaliwa
Utafanya zote au utachagua ufanye zipi..hii ni juu yakoNisharekebisha mkuu hadi sasa nina recieved 8 nawaza nikiitwa zote itakuwaje
Hahahhah wajuba wanakuelekeza kwa kukunanga
Ahsante mkuu huu uzi naufatilia kwa ukaribu sana najiweka karibu na mzingakaribu kwenye uzi wa walamba asali
huku mambo yamenyooka kaka hatumpaki mtu mafuta kwa ngongo wa chupa😛😛
Hahahhah nakubali mkuu life haijawahi kuwa simple kikubwa ni target tuKwenye maisha ukiwa hujui kitu, bc kubali kuelekezwa kwa njia yoyote ile ht kwa makofi cha msingi ni upate hitaji lako.
Kitaa kimenichapa sana mkuu wakiniita zote nafumua zote tena kwa weledi hadi kielewekeUtafanya zote au utachagua ufanye zipi..hii ni juu yako
Follow the Sekretarieti ya Ajira channel on WhatsApp: Sekretarieti ya Ajira | WhatsApp-KanalMwenye link ya ajira portal channel tsap anisaidie, Natanguliza shukrani
asante sana mwifwaFollow the Sekretarieti ya Ajira channel on WhatsApp: Sekretarieti ya Ajira | WhatsApp-Kanal
😁😁 mambwiga mbwiguke vijana mna manenoTangazo ndio nililoomba mwenye nalo anitumie hapo nikiwa kwenye process za kuomba na wala sikubisha chochote
Sema wazoefu kwenye mfumo mnatuona tusio wazoefu mambwiga mbwiguke na tukiomba kuelekezwa twaambiwa shule tumefuata nini
But mkuu, nishaelewa kama kuna received nyingine ya kuongeza nistue
Safi sana kijana anza maandalizi ya mapemaNisharekebisha mkuu hadi sasa nina recieved 8 nawaza nikiitwa zote itakuwaje
Hahahhah wajuba wanakuelekeza kwa kukunanga
95% zinafanyika Dodoma.Naomba kuelekezwa.
Iv interviews zote za utumishi zinafanyikia Dodoma au kuna baadhi zinafanywa kwa kanda.
Ndio mana sifatilii kabisa ajira za serikali. kama mtu unamishe zako ni ngumu sana kupata kazi serikalini kwa sababu ukifikiria muda na pesa uaache mambo yako ya kukuingizia hela uende ukabet Dodoma.95% zinafanyika Dodoma.
AiseeeNdio mana sifatilii kabisa ajira za serikali. kama mtu unamishe zako ni ngumu sana kupata kazi serikalini kwa sababu ukifikiria muda na pesa uaache mambo yako ya kukuingizia hela uende ukabet Dodoma.
Maisha n kuchagua.Ndio mana sifatilii kabisa ajira za serikali. kama mtu unamishe zako ni ngumu sana kupata kazi serikalini kwa sababu ukifikiria muda na pesa uaache mambo yako ya kukuingizia hela uende ukabet Dodoma.
Ndio maana kuhudhuria interviews ni hiari sio lazma. In fact kwenda tu dodoma ni interview toshaNdio mana sifatilii kabisa ajira za serikali. kama mtu unamishe zako ni ngumu sana kupata kazi serikalini kwa sababu ukifikiria muda na pesa uaache mambo yako ya kukuingizia hela uende ukabet Dodoma.
Huoni kama inawapa favour wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani, fikiria mtu iliopo songea au mtwara. Sisi wengine wacha tupambane kwa namna yetu.Ndio maana kuhudhuria interviews ni hiari sio lazma. In fact kwenda tu dodoma ni interview tosha
Mzee inaonekana hauko serious na kazi.Huoni kama inawapa favour wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani, fikiria mtu iliopo songea au mtwara. Sisi wengine wacha tupambane kwa namna yetu.
Kama huna kazi ya kufanya ni muhimu kuzipambania hizo ajira ila kama una mambo yako ya kufanya kukupatia kipato ni bora uzipotezee mana zinaweza kukutoa kwenye reli.Mzee inaonekana hauko serious na kazi.
Ww jamaa bhana 😂Huoni kama inawapa favour wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani, fikiria mtu iliopo songea au mtwara. Sisi wengine wacha tupambane kwa namna yetu.