Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Achana na kitambulisho cha NIDA, tafuta barua ya utambulisho kutoka ofisi ya mtaa.

Hata hivyo kinachoangaliwa ni majina sahihi, sijawahi kusikia wamekagua tarehe za kuzal

Achana na kitambulisho cha NIDA, tafuta barua ya utambulisho kutoka ofisi ya mtaa.

Hata hivyo kinachoangaliwa ni majina sahihi, sijawahi kusikia wamekagua tarehe za kuzaliwa
Thanks champ...
 
Tangazo ndio nililoomba mwenye nalo anitumie hapo nikiwa kwenye process za kuomba na wala sikubisha chochote

Sema wazoefu kwenye mfumo mnatuona tusio wazoefu mambwiga mbwiguke na tukiomba kuelekezwa twaambiwa shule tumefuata nini

But mkuu, nishaelewa kama kuna received nyingine ya kuongeza nistue
😁😁 mambwiga mbwiguke vijana mna maneno
Haya manjonjo mkayaoneshe kwenye interview😀
 
Naomba kuelekezwa.
Iv interviews zote za utumishi zinafanyikia Dodoma au kuna baadhi zinafanywa kwa kanda.
 
Ndio mana sifatilii kabisa ajira za serikali. kama mtu unamishe zako ni ngumu sana kupata kazi serikalini kwa sababu ukifikiria muda na pesa uaache mambo yako ya kukuingizia hela uende ukabet Dodoma.
Aiseee
 
Back
Top Bottom