Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama huna kazi ya kufanya ni muhimu kuzipambania hizo ajira ila kama una mambo yako ya kufanya kukupatia kipato ni bora uzipotezee mana zinaweza kukutoa kwenye reli.
Ndio mkuu, hizo kazi za kwenda kufanya usaili tuachie sisi.
Nyie fanyeni mambo yenu yanayoendelea kuwaingizia kipato.
 
Mzee mimi nimeajiriwa nina mkataba ila sijawahi kuacha kwenda kwenye usaili usidhani wote wanaomba kazi ni jobless ila serikali ina uzuri wake nitaueleza siku nyingine.

Kwa mawazo yako unadhani sisi hatuna kazi sasa nauli za kwenda dodoma tunazipata wapi.

Kuna muda hata ruhusa kazini Shida ila unaforce
 
Wewe bado upo kwenye line ileile ya walioajiriwa mimi nazungumzia hustlers, so wewe lazima uende kwenye interview kwa gharama yoyote ile hata kukopa ikibidi ili upate kazi mshahara uongezeke.
 
Wamekudanganya hao.. interview unapigwa written karibu na ulipo, ukifaulu ndio unaenda dom kwenye oral au practical...sio unaenda enda tu
 
Sasa hapo ndo umejibu nn sasa?
C bado kwenda Dodoma kupo au?
 
Wamekudanganya hao.. interview unapigwa written karibu na ulipo, ukifaulu ndio unaenda dom kwenye oral au practical...sio unaenda enda tu
Mimi nitajulia wapi hayo mambo ndio mana nikaulizia je interview zote zinafanyikia Dodoma. Sijawai fatilia issue za ajira toka nimamiliza chuo nimaanza kufatilia hizi zilizotangazwa juzi kati hapa.
 
Mkuu, ulikusudia ku-reply kwenye comment yangu au umekosea? Mana naona ulichokiandika n tofaut na point yangu.
 
Wakuu kwa wale waloombaga tume ya Utumishi wa mahakama washaita uko kwa ajiri ya mikando..🙌🙌🙌
 
Mimi nitajulia wapi hayo mambo ndio mana nikaulizia je interview zote zinafanyikia Dodoma. Sijawai fatilia issue za ajira toka nimamiliza chuo nimaanza kufatilia hizi zilizotangazwa juzi kati hapa.
Omba kwanza... fanya mtihani wa awali...ratiba ya prac na oral sometimes ni dar na dom...
Kwahiyo anza kwanza na hatua ya mwanzo..
BTW, ukitaka kupiga mishe zako fresh na ukatoboa mtaani, ingia serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…