oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Kama huna shughuli ya kufanya unaweza usinieleweWw jamaa bhana 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huna shughuli ya kufanya unaweza usinieleweWw jamaa bhana 😂
Ndio mkuu, hizo kazi za kwenda kufanya usaili tuachie sisi.Kama huna kazi ya kufanya ni muhimu kuzipambania hizo ajira ila kama una mambo yako ya kufanya kukupatia kipato ni bora uzipotezee mana zinaweza kukutoa kwenye reli.
Mzee mimi nimeajiriwa nina mkataba ila sijawahi kuacha kwenda kwenye usaili usidhani wote wanaomba kazi ni jobless ila serikali ina uzuri wake nitaueleza siku nyingine.Ndio mkuu, hizo kazi za kwenda kufanya usaili tuachie sisi.
Nyie fanyeni mambo yenu yanayoendelea kuwaingizia kipato.
Wewe bado upo kwenye line ileile ya walioajiriwa mimi nazungumzia hustlers, so wewe lazima uende kwenye interview kwa gharama yoyote ile hata kukopa ikibidi ili upate kazi mshahara uongezeke.Mzee mimi nimeajiriwa nina mkataba ila sijawahi kuacha kwenda kwenye usaili usidhani wote wanaomba kazi ni jobless ila serikali ina uzuri wake nitaueleza siku nyingine.
Kwa mawazo yako unadhani sisi hatuna kazi sasa nauli za kwenda dodoma tunazipata wapi.
Kuna muda hata ruhusa kazini Shida ila unaforce
Wamekudanganya hao.. interview unapigwa written karibu na ulipo, ukifaulu ndio unaenda dom kwenye oral au practical...sio unaenda enda tuWewe bado upo kwenye line ileile ya walioajiriwa mimi nazungumzia hustlers, so wewe lazima uende kwenye interview kwa gharama yoyote ile hata kukopa ikibidi ili upate kazi mshahara uongezeke.
Sasa hapo ndo umejibu nn sasa?Wamekudanganya hao.. interview unapigwa written karibu na ulipo, ukifaulu ndio unaenda dom kwenye oral au practical...sio unaenda enda tu
Mimi nitajulia wapi hayo mambo ndio mana nikaulizia je interview zote zinafanyikia Dodoma. Sijawai fatilia issue za ajira toka nimamiliza chuo nimaanza kufatilia hizi zilizotangazwa juzi kati hapa.Wamekudanganya hao.. interview unapigwa written karibu na ulipo, ukifaulu ndio unaenda dom kwenye oral au practical...sio unaenda enda tu
Mkuu, ulikusudia ku-reply kwenye comment yangu au umekosea? Mana naona ulichokiandika n tofaut na point yangu.Mzee mimi nimeajiriwa nina mkataba ila sijawahi kuacha kwenda kwenye usaili usidhani wote wanaomba kazi ni jobless ila serikali ina uzuri wake nitaueleza siku nyingine.
Kwa mawazo yako unadhani sisi hatuna kazi sasa nauli za kwenda dodoma tunazipata wapi.
Kuna muda hata ruhusa kazini Shida ila unaforce
Wewe mpare gani unakua obsessed sana na ajira. Hizo mambo tuwaachie wale wakola waitu from Bk.Kuna watu humu kuwaelekeza n kama kujipa stress, haya siku njema wakuu.
Dodoma unaenda baada ya kufaulu...unaenda baada ya kuvuka hatua ya awali ambayo nayo ni mlima kuivukaSasa hapo ndo umejibu nn sasa?
C bado kwenda Dodoma kupo au?
Omba kwanza... fanya mtihani wa awali...ratiba ya prac na oral sometimes ni dar na dom...Mimi nitajulia wapi hayo mambo ndio mana nikaulizia je interview zote zinafanyikia Dodoma. Sijawai fatilia issue za ajira toka nimamiliza chuo nimaanza kufatilia hizi zilizotangazwa juzi kati hapa.
Mkuu unakula raha na mshangazi mwana😀😀 ucheck ata update kwenye tovuti😀Wakuu kuna jipya kwenye mfumo
Mkuu niliuacha kk niliona nisijipe tabu na mikosi bureeMkuu unakula raha na mshangazi mwana😀😀 ucheck ata update kwenye tovuti😀
Acha tu mzee, mwezi huu benchi lamotoMbona mwez wa nane unatia hasira pdf ni za kusua sua