Huyu malafyale anazingua sana kila mtu apambane na hali ako ili tuwe wachache kwenye usail aaah mwaisa fyofikiπ€£π€£π€£π€©Doubleg Malafyale nakushukuru sana mkuu....niliona kwenye nafasi za Quality assurance na Editor II sifa ninazo lakini mfumo unanikataa....ulishauri niwatafute...niliwatafuta wakasolve tatizo nina received 5 kwa Sasa ubarikiwe sana
Kila lakheri katika maandalizi yakoDoubleg Malafyale nakushukuru sana mkuu....niliona kwenye nafasi za Quality assurance na Editor II sifa ninazo lakini mfumo unanikataa....ulishauri niwatafute...niliwatafuta wakasolve tatizo nina received 5 kwa Sasa ubarikiwe sana
Nakushukuru ubarikiwe mkuu...naanza maandalizi mapemaKila lakheri katika maandalizi yako
Anza kusoma mdogo mdogo bila presure kuna moja utapata kati ya hizo
Sawa mkuu...tutakuwa wachache tu hahahHuyu malafyale anazingua sana kila mtu apambane na hali ako ili tuwe wachache kwenye usail aaah mwaisa fyofikiπ€£π€£π€£π€©
ππ mkiwa wengi ndo nzuri utashinda kibabe,piga msuli sanaHuyu malafyale anazingua sana kila mtu apambane na hali ako ili tuwe wachache kwenye usail aaah mwaisa fyofikiπ€£π€£π€£π€©
Umeanza kuwa wa ovyo .Mbona mwez wa nane unatia hasira pdf ni za kusua sua
Kama ana hela wala asitamani aingie serikalini wala hamna maajabuOmba kwanza... fanya mtihani wa awali...ratiba ya prac na oral sometimes ni dar na dom...
Kwahiyo anza kwanza na hatua ya mwanzo..
BTW, ukitaka kupiga mishe zako fresh na ukatoboa mtaani, ingia serikalini
Jamaa naona kama umekuja kutuchora wasaka ajira ungetuacha tu kakaWewe mpare gani unakua obsessed sana na ajira. Hizo mambo tuwaachie wale wakola waitu from Bk.
Hapana nilimkusudia jamaa wa juu mjuaji huyoMkuu, ulikusudia ku-reply kwenye comment yangu au umekosea? Mana naona ulichokiandika n tofaut na point yangu.
Hakuna jamaa mnafiki kwa kusifia kama lukasi Mwashambwaπ2024/2025 tusipolamba asali tulio wengi basi hizi mbio za ajira bora tuwaachie wanetuππ maana si nafasi hizi zinavyomwagwa kwa hasira
Lucas mwashambwa hapa huwa anasena watanzania wanabubujikwa na machozi ya furahaππ mama amewafikia
Huwezi kufanya biashara ikakua vizuri kama hauna mtu wa maana serikalini au ww haupo serikalini..Kama ana hela wala asitamani aingie serikalini wala hamna maajabu
Vyovyote, ila kama una mwandiko mbaya bc nashauri u-type tuu.Hivi wakuu Ni sahihi kuandika barua kwa mkono au nitype tuu,
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Yaaani hiii nchi usipokuwa mtu wa figisu figisu ni ngumu kutoboa aiseeππ mkiwa wengi ndo nzuri utashinda kibabe,piga msuli sana
Mwaisa kwetu sisi figisu iwe maandalizi mazuri kuelekea usaili tofauti na hapo itakuwa kipengele kutoboaYaaani hiii nchi usipokuwa mtu wa figisu figisu ni ngumu kutoboa aisee
Figisu zinaanzia uku uku chini kwanza mkuuMwaisa kwetu sisi figisu iwe maandalizi mazuri kuelekea usaili tofauti na hapo itakuwa kipengele kutoboa
Soma sana kijana onyesha ubabe wako tarehe 24π
Mjiandae vyakutosha piaTuendelee kuongeza received tu. Siku interview zikianza ni kila wiki bila kupoa.