Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Doubleg Malafyale nakushukuru sana mkuu....niliona kwenye nafasi za Quality assurance na Editor II sifa ninazo lakini mfumo unanikataa....ulishauri niwatafute...niliwatafuta wakasolve tatizo nina received 5 kwa Sasa ubarikiwe sana
Huyu malafyale anazingua sana kila mtu apambane na hali ako ili tuwe wachache kwenye usail aaah mwaisa fyofiki🤣🤣🤣🤩
 
Doubleg Malafyale nakushukuru sana mkuu....niliona kwenye nafasi za Quality assurance na Editor II sifa ninazo lakini mfumo unanikataa....ulishauri niwatafute...niliwatafuta wakasolve tatizo nina received 5 kwa Sasa ubarikiwe sana
Kila lakheri katika maandalizi yako
Anza kusoma mdogo mdogo bila presure kuna moja utapata kati ya hizo
 
Omba kwanza... fanya mtihani wa awali...ratiba ya prac na oral sometimes ni dar na dom...
Kwahiyo anza kwanza na hatua ya mwanzo..
BTW, ukitaka kupiga mishe zako fresh na ukatoboa mtaani, ingia serikalini
Kama ana hela wala asitamani aingie serikalini wala hamna maajabu
 
2024/2025 tusipolamba asali tulio wengi basi hizi mbio za ajira bora tuwaachie wanetu😂😂 maana si nafasi hizi zinavyomwagwa kwa hasira
Lucas mwashambwa hapa huwa anasena watanzania wanabubujikwa na machozi ya furaha😀😀 mama amewafikia
Hakuna jamaa mnafiki kwa kusifia kama lukasi Mwashambwa😁
 
Kama ana hela wala asitamani aingie serikalini wala hamna maajabu
Huwezi kufanya biashara ikakua vizuri kama hauna mtu wa maana serikalini au ww haupo serikalini..
Utaishia business za 10m n below....
Hii ni kwa nchi nyingi za Africa
 
Back
Top Bottom