De Professor
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 237
- 505
IT huwa hana kosa, IT anakua ameshaingiza details zote na zipo tayar anangoja tamko la kiongozi ku upload mzigo.IT tuwekee pdf, jua linawaka sana mtaani uku
Siku za interview Kuna wakati unalazimika Upige abracadabra kadhaa Ili kupumguza ushindaniHuyu malafyale anazingua sana kila mtu apambane na hali ako ili tuwe wachache kwenye usail aaah mwaisa fyofikiπ€£π€£π€£π€©
πππ mpaka vichwa viote vipara kwa juaIT tuwekee pdf, jua linawaka sana mtaani uku
Ninayo moja tu ya April....πππ mpaka vichwa viote vipara kwa jua
Una oral ngapi mkuu?
Kama wa psrsWakuu interview ya kielektroniki ndo ikoje? Usaili wa mahakamani huuView attachment 3071553
ndo mara yangu ya kwanza mkuu that why nimeuliza?Kama wa psrs
Kwakweli mkuu ni nomamajobless acheni kua watumwa wa hawa wapumbavu wanaojiita utumishi tafuteni fursa na kwingine.
Kafanye hadi ufike Oral na uje uifanye Oral pia, hadi hapo utakuwa na chance kubwa ya kupata nafasi popote itakapopatikana.Wakuu hawa jamaa psprs wana mateso sana aisee imagine wanaita watu 624 kugombania nafasi moja aisee kwenye written.????
πππni kawaida zingine mpaka 1000+ kikubwa ingia oral ata usipopata hiyo utakuwa database jitahidi sanaWakuu hawa jamaa psprs wana mateso sana aisee imagine wanaita watu 624 kugombania nafasi moja aisee kwenye written.????
Kaka habari.Kafanye hadi ufike Oral na uje uifanye Oral pia, hadi hapo utakuwa na chance kubwa ya kupata nafasi popote itakapopatikana.
Bila shaka wewe ni mgeni kwenye huu uzi, hili jambo tulishalisema sana humu
Huyo si tu mgeni kwenye uzi huu bali mambo yote ya usaili wa psrs ni mgeni ndo maana anashangaaKafanye hadi ufike Oral na uje uifanye Oral pia, hadi hapo utakuwa na chance kubwa ya kupata nafasi popote itakapopatikana.
Bila shaka wewe ni mgeni kwenye huu uzi, hili jambo tulishalisema sana humu
Ila malafyale tunafarijiana sana aisee yaani sehemu ya kuambiana ukweliπππni kawaida zingine mpaka 1000+ kikubwa ingia oral ata usipopata hiyo utakuwa database jitahidi sana
Pamoja kwamba nafasi ni 1 unaweza shangaa mkaitwa watu 40 kwenda oral hiyo 1 isikutisha kikubwa jiandae vyema
Kuna usaili nilihudhuria written nafasi zilikuwa 2 tu ,ila watu tulikua nyomi sana,kwenye oral wakapeleka watu 25 ebu imaginie, Kwa hiyo kinachotakiwa upenye oral tu
Huko kufarijiana ndio ukweli wenyeweIla malafyale tunafarijiana sana aisee yaani sehemu ya kuambiana ukweli
Habari mkuu...samahani hivi kwasasa psrs ajira zote tunaanza na Aptitude test ? I mean he aptitude test imereplace written ?Huyo si tu mgeni kwenye uzi huu bali mambo yote ya usaili wa psrs ni mgeni ndo maana anashangaa
Iko ivi,ulikwenda kwenye usaili ukafika mpaka hatua ya oral,nafasi labda ilikua 1,nyie mulikuwa 10,hiyo atapata mmoja aliyefaulu kati yenu,9 mulio baki mtawekwa Database, nafasi zikitokea kwingine kwa maana taasisi nyingine tofauti uliyofanyia usaili au halmashauri unapangwa,na kwenye database au kanzidata unakaa kwa muda wa mwaka mmoja au na miezi kadhaa ,ndio maana tunasisitiziwa tujitahidi tufike hatua ya oralKaka habari.
Kuna mtumishi mmoja ni Nurse aliniambia yeye alipata ajira kwa second round...nilikuwa napenda nikuulzie hili suala zima la second round lipoje...Je wanapotoa kwa mara ya kwanza je, kuna muda wanarudia kuita watu kwa mara nyingine ikiwa walioitwa hawakwenda kwa sababu mbalimbali?
Natanguliza shukrani