Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

IT tuwekee pdf, jua linawaka sana mtaani uku
IT huwa hana kosa, IT anakua ameshaingiza details zote na zipo tayar anangoja tamko la kiongozi ku upload mzigo.
So kiongozi akisema keaho asubuh release mzigo au jion kitu kinaitika, ila IT hawez achia mzigo pasipo order toka juu. Ova
 
Wakuu interview ya kielektroniki ndo ikoje? Usaili wa mahakamani huu
IMG_20240816_112543.jpg
 
majobless acheni kua watumwa wa hawa wapumbavu wanaojiita utumishi tafuteni fursa na kwingine. :ALERTA: :ALERTA: :ALERTA: :ALERTA:
 
Wakuu hawa jamaa psprs wana mateso sana aisee imagine wanaita watu 624 kugombania nafasi moja aisee kwenye written.????
Kafanye hadi ufike Oral na uje uifanye Oral pia, hadi hapo utakuwa na chance kubwa ya kupata nafasi popote itakapopatikana.

Bila shaka wewe ni mgeni kwenye huu uzi, hili jambo tulishalisema sana humu
 
😁😁😁ni kawaida zingine mpaka 1000+ kikubwa ingia oral ata usipopata hiyo utakuwa database jitahidi sana
Pamoja kwamba nafasi ni 1 unaweza shangaa mkaitwa watu 40 kwenda oral hiyo 1 isikutisha kikubwa jiandae vyema

Kuna usaili nilihudhuria written nafasi zilikuwa 2 tu ,ila watu tulikua nyomi sana,kwenye oral wakapeleka watu 25 ebu imaginie, Kwa hiyo kinachotakiwa upenye oral tu
 
Kaka habari.

Kuna mtumishi mmoja ni Nurse aliniambia yeye alipata ajira kwa second round...nilikuwa napenda nikuulzie hili suala zima la second round lipoje...Je wanapotoa kwa mara ya kwanza je, kuna muda wanarudia kuita watu kwa mara nyingine ikiwa walioitwa hawakwenda kwa sababu mbalimbali?

Natanguliza shukrani
 
Huyo si tu mgeni kwenye uzi huu bali mambo yote ya usaili wa psrs ni mgeni ndo maana anashangaa
 
😁😁😁ni kawaida zingine mpaka 1000+ kikubwa ingia oral ata usipopata hiyo utakuwa database jitahidi sana
Pamoja kwamba nafasi ni 1 unaweza shangaa mkaitwa watu 40 kwenda oral hiyo 1 isikutisha kikubwa jiandae vyema

Kuna usaili nilihudhuria written nafasi zilikuwa 2 tu ,ila watu tulikua nyomi sana,kwenye oral wakapeleka watu 25 ebu imaginie, Kwa hiyo kinachotakiwa upenye oral tu
Ila malafyale tunafarijiana sana aisee yaani sehemu ya kuambiana ukweli
 
Kaka habari.

Kuna mtumishi mmoja ni Nurse aliniambia yeye alipata ajira kwa second round...nilikuwa napenda nikuulzie hili suala zima la second round lipoje...Je wanapotoa kwa mara ya kwanza je, kuna muda wanarudia kuita watu kwa mara nyingine ikiwa walioitwa hawakwenda kwa sababu mbalimbali?

Natanguliza shukrani
Iko ivi,ulikwenda kwenye usaili ukafika mpaka hatua ya oral,nafasi labda ilikua 1,nyie mulikuwa 10,hiyo atapata mmoja aliyefaulu kati yenu,9 mulio baki mtawekwa Database, nafasi zikitokea kwingine kwa maana taasisi nyingine tofauti uliyofanyia usaili au halmashauri unapangwa,na kwenye database au kanzidata unakaa kwa muda wa mwaka mmoja au na miezi kadhaa ,ndio maana tunasisitiziwa tujitahidi tufike hatua ya oral
 
Back
Top Bottom