Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Haah.Unawajua utumishi malengo, ngoja upokee mikandoo akili ikukae sawa.
Kwanza nilivyoingia oral nikajiona nishapata kazi mwaka imeisha mwezi huu database yangu hata sijaitwa.Haah.
Mimi nilikuwa na malengo zaidi ya broo hapo juu ila now najiandaa na usaili wa halmashauri
Hahah afadhali unamwaga uzoefu mkuu but hata huo usaili wa halmashauri si watafanya hao hao utumishi au inakuwajeHaah.
Mimi nilikuwa na malengo zaidi ya broo hapo juu ila now najiandaa na usaili wa halmashauri
Hii mikando inaonekana imekatisha ndoto za vijana wengi yaani ni sawa unangojea kifoUnawajua utumishi malengo, ngoja upokee mikandoo akili ikukae sawa.
nafasi ilikuwa 1 nn mkuu?Kwanza nilivyoingia oral nikajiona nishapata kazi mwaka imeisha mwezi huu database yangu hata sijaitwa.
Na bado nasubiri mikando mingine.
Hatukukatishi tamaa ila lower expectations.
Nouma washanikanda uko nyuma subiri wee nahisi data base imesha expire, ukiwa mzembe unakufa kwa mawazo mwamba ajawahi piga ata written moja anachagua taasisiHii mikando inaonekana imekatisha ndoto za vijana wengi yaani ni sawa unangojea kifo
Sasa wewe mbona unasema hauna uzoefu lakini unajichagulia taasisi.Hahah afadhali unamwaga uzoefu mkuu but hata huo usaili wa halmashauri si watafanya hao hao utumishi au inakuwaje
Pole mkuuNouma washanikanda uko nyuma subiri wee nahisi data base imesha expire, ukiwa mzembe unakufa kwa mawazo mwamba ajawahi piga ata written moja anachagua taasisi
Watu wanaitwa buku wanatoboa watatu kwenda oral na uko bado wanakukanda
Aisee neema ya Mungu itutembelee.
Hapana haikatishi ndoto ila mtaani ushindani ni mkubwa na wanaohitaji kazi ni wengi sana.Hii mikando inaonekana imekatisha ndoto za vijana wengi yaani ni sawa unangojea kifo
Napenda bata kuliko kazi(jokes)Sasa wewe mbona unasema hauna uzoefu lakini unajichagulia taasisi.
Hapana no hao hao utumishi hizi za afya tulizoomba mwezi uliopitaHahah afadhali unamwaga uzoefu mkuu but hata huo usaili wa halmashauri si watafanya hao hao utumishi au inakuwaje
Kuna mkando halfu kuna database walaai lazima unyookeHii mikando inaonekana imekatisha ndoto za vijana wengi yaani ni sawa unangojea kifo
Kikubwa ni kujiandaa tu na kuwa nondo kokote unaweza pita tukiondoa kigezo cha connectionHapana no hao hao utumishi hizi za afya tulizoomba mwezi uliopita
Maombi muhimu sio waliopata wanajua sana au aliyekosa hajui neema tu ya Mungu ikifika unatokaPole mkuu
Hapa kwenye gharama mkuu ndio kunakoleta shida yaani uende interview Dodoma may be mara mbili au tatu halafu uambulie patupuMaombi muhimu sio waliopata wanajua sana au aliyekosa hajui neema tu ya Mungu ikifika unatoka
Saizi niko sawa kuna mda kila nikifikiria kichwa kilikuwa kinauma
Mda wangu, pesa zangu expectations zangu Dah zilikuwa zinataka kuniua
Wale sio sehemu ya kusema utapata jalibu wait ukipata hewala ukikosa sawa
Psrs sio watu wa mchezo.
Karibu kwenye game kufaulu tu written ni kasheshe ila kwa ujumlaHapa kwenye gharama mkuu ndio kunakoleta shida yaani uende interview Dodoma may be mara mbili au tatu halafu uambulie patupu
Halafu kwanini nafasi ni mbili wanaita watu kibao ili iweje
Kiukweli kiubinadamu sometimes inakera.Hapa kwenye gharama mkuu ndio kunakoleta shida yaani uende interview Dodoma may be mara mbili au tatu halafu uambulie patupu
Halafu kwanini nafasi ni mbili wanaita watu kibao ili iweje
mie niko private sector hivi sihangaiki na hao mamakuMkuu wewe ushajipata unasukuma mkoko bila shaka
Mimi hii ni mara yangu yakwanza nataka nibet lakini nitabet kwenye mikeka yenye odd nyingi kwasababu najua itakavyokuwa tunacheza pata poteaKiukweli kiubinadamu sometimes inakera.
Mimi nimeenda Dodoma 2 times Olaaa.
Ya 3 ndo nikatoboa ila hata ivyo Database mwezi huu ndo imeisha.
Nasubiri ya nne nione inakuaje.
Kiukweli ukifikiria gharama Dar Dom.
Kula.
Kulala
Nauli.
Unaweza usiende kwa usaili
Unashukuru mkuu unalamba asali kwa kijiko private zingine ziko vizuri kuliko gavoomie niko private sector hivi sihangaiki na hao mamaku