Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kiukweli kiubinadamu sometimes inakera.

Mimi nimeenda Dodoma 2 times Olaaa.

Ya 3 ndo nikatoboa ila hata ivyo Database mwezi huu ndo imeisha.

Nasubiri ya nne nione inakuaje.

Kiukweli ukifikiria gharama Dar Dom.

Kula.

Kulala

Nauli.

Unaweza usiende kwa usaili
usikate tamaa sio kila usaili utaenda kwasababu hali ya uchumi mifukoni mwetu tunaijua wenyewe, muhimu ukipata nafasi ya kwenda hakikisha hauichezei na hauachi hata nukta ktk majibu yako
 
Kiukweli kiubinadamu sometimes inakera.

Mimi nimeenda Dodoma 2 times Olaaa.

Ya 3 ndo nikatoboa ila hata ivyo Database mwezi huu ndo imeisha.

Nasubiri ya nne nione inakuaje.

Kiukweli ukifikiria gharama Dar Dom.

Kula.

Kulala

Nauli.

Unaweza usiende kwa usaili
Mkuu bora ww dar tu apo mm nipo mtwara jumanne inabidi niwe dom aisee na naenda fanya written
 
Maombi muhimu sio waliopata wanajua sana au aliyekosa hajui neema tu ya Mungu ikifika unatoka

Saizi niko sawa kuna mda kila nikifikiria kichwa kilikuwa kinauma

Mda wangu, pesa zangu expectations zangu Dah zilikuwa zinataka kuniua

Wale sio sehemu ya kusema utapata jalibu wait ukipata hewala ukikosa sawa

Psrs sio watu wa mchezo.
Ulisomea ma nini mkuu
 
Hamna connection ajira portal mkuu ukifail written ndio imeisha labda usipitie mfumo wa usaili io ndio itakuwa connection
Ndio tunavyoambiwa japo sina uhakika

Kuna ile mmepita oral kama mtu ten halafu nafasi ni mbili wanatumia kigezo gani kuchukua ao wawili na wengine kuwaweka kwenye database?
 
Ndio tunavyoambiwa japo sina uhakika

Kuna ile mmepita oral kama mtu ten halafu nafasi ni mbili wanatumia kigezo gani kuchukua ao wawili na wengine kuwaweka kwenye database?
Labda wamfanyie durect recruitment mkuu akipita ajira portal either apewe majibu mkuu ndio connection yake
 
Back
Top Bottom