Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Umesoma koz gani mkuuwasaka asali kwema.? mwenzenu nimefukuzia pdf mpaka nimesanda aisee 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma koz gani mkuuwasaka asali kwema.? mwenzenu nimefukuzia pdf mpaka nimesanda aisee 🤣 🤣
ENGINER huyoUmesoma koz gani mkuu
Siku nitakapoliona sijui kama nitalala siku iyo.Kaka, hakuna marefu yasiyo na ncha, your moment is coming!
Hahaha awa jamaa ni hatariUnapozungumzia PSRS,
Unazungumzia NDOIGE kali sana!!!
MM nmemalza mwaka huu chuo, huyo ni mwanangu tu wa mtaanicheti kushikiliwa ni kosa kisheria,ila nawe lipa pesa ya watu kwanza...pia inakuwaje uwe na cheti cha kumaliza chuo wkt hujalipa deni lao?
ipi hivi jamaa kaanza chuo mwezi wa 11 mwisho kabsa kwenye matarehe 28 uko sasa alipoenda kujisajili ndo akawapa chet cha kuzaliwa na cha 4 wakabak navo na hela hyo 350k baada ya hapo akasoma had tarehe kama 10 hv mwez wa kwanza na kpnd hcho chote chet bado wanacho hao watu wa chuo, na kwa hali yake alvoona hawez malza ada akaomba afanye mitihani ya semester halaf alipage ada mbele wakamkatilia ndo mchezo ukaisha hapo akaomba vyeti vyake wakampa cha kuzaliwa cha form 4 wakabak nacho had leo hawatak kumpaIla maelezo ya ndugu yake hayajajitosheleza kuna sehemu kasema amesoma mwezi mmoja hapo hapo kuna sehemu kasema hata mtihani wa semester Hawakumruhusu kufanya
Jamaa yako sio muwazi yeye aseme Ada ya semester ya kwanza ilitakiwa laki 7 yeye akatoa laki 3.ipi hivi jamaa kaanza chuo mwezi wa 11 mwisho kabsa kwenye matarehe 28 uko sasa alipoenda kujisajili ndo akawapa chet cha kuzaliwa na cha 4 wakabak navo na hela hyo 350k baada ya hapo akasoma had tarehe kama 10 hv mwez wa kwanza na kpnd hcho chote chet bado wanacho hao watu wa chuo, na kwa hali yake alvoona hawez malza ada akaomba afanye mitihani ya semester halaf alipage ada mbele wakamkatilia ndo mchezo ukaisha hapo akaomba vyeti vyake wakampa cha kuzaliwa cha form 4 wakabak nacho had leo hawatak kumpa
Mzee cheti aliacha kpind anajisajili ajaweka bondi, napia nmesema aliona kwamba hyo 400k hawezi iliipa akawaomba wakagoma, akasema sawa basi naacha chuo npeni vyeti vyangu ndo wakagoma tena kumpa cha form4 wakampa chakuzaliwa, mbna maelezo yanajitosheleza hapo kakaJamaa yako sio muwazi yeye aseme Ada ya semester ya kwanza ilitakiwa laki 7 yeye akatoa laki 3.
Wakachukua cheti chake kama BOND.
Hapo kidogo nitakuelewa.
Kingine Ametaka kuacha chuo mwezi wa 1 semester ya kwanza inaisha wa nne kwanini aombe kumalizia semester ya kwanza kwa kigezo hana Ada wakati alikuwa na muda wa kutosha na ndio mlolongo nadhani ulianzia hapo
nilisoma electricalUmesoma koz gani mkuu
Na bado hujasema , mpaka hicho cheti chako cha Electrical ukifungie kabatini 🤣🤣🤣🤣nilisoma electrical
🤣 🤣 🤣 🤣 tutakoma aiseeNa bado hujasema , mpaka hicho cheti chako cha Electrical ukifungie kabatini 🤣🤣🤣🤣
Twende tukapige kozi ya kilimo na mifugo au librarian au upishi Engineer mwenzangu
All the bestAsante kwa ushauri lakini mm nmemalza chuo mwaka huu, kazi nayofukuzia tutorial assistant nkikosa natafuta scholarship ulaya
dah yaani mechanical ndio kabisaa wamewasahau na bado wanatoa matangazo aiseeMmmh data base za engineer hasa mechanical, auto, electrical nayo japo kiduchu itaguswa soon si unaona mecha wemeanza kuwakumbuka😁
ardhi wamefikiwa kwa kasi ya 4GDatabase ya wizara ya Ardhi imefikiwa ngoja nikae mkao wa kulamba asali
Kaka habari,,samahani nilikuwa naomba kuulizia kuhusu maswali wanayo uliza kwenye interview za nurses pamoja na oralBig Point.
Rule tushibe
Tuongeze Received.
Tufanye usaili
Tufanye Oral.
Mengine watajua wenyewe
Ict officer (Data Science)Bado mapema chief kuwa mvumilivu sometimes uchukua miezi ata mi 5 hamjaitwa usaili , uliomba post gani??