Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila maelezo ya ndugu yake hayajajitosheleza kuna sehemu kasema amesoma mwezi mmoja hapo hapo kuna sehemu kasema hata mtihani wa semester Hawakumruhusu kufanya
ipi hivi jamaa kaanza chuo mwezi wa 11 mwisho kabsa kwenye matarehe 28 uko sasa alipoenda kujisajili ndo akawapa chet cha kuzaliwa na cha 4 wakabak navo na hela hyo 350k baada ya hapo akasoma had tarehe kama 10 hv mwez wa kwanza na kpnd hcho chote chet bado wanacho hao watu wa chuo, na kwa hali yake alvoona hawez malza ada akaomba afanye mitihani ya semester halaf alipage ada mbele wakamkatilia ndo mchezo ukaisha hapo akaomba vyeti vyake wakampa cha kuzaliwa cha form 4 wakabak nacho had leo hawatak kumpa
 
Jamaa yako sio muwazi yeye aseme Ada ya semester ya kwanza ilitakiwa laki 7 yeye akatoa laki 3.

Wakachukua cheti chake kama BOND.

Hapo kidogo nitakuelewa.

Kingine Ametaka kuacha chuo mwezi wa 1 semester ya kwanza inaisha wa nne kwanini aombe kumalizia semester ya kwanza kwa kigezo hana Ada wakati alikuwa na muda wa kutosha na ndio mlolongo nadhani ulianzia hapo
 
Mimi kama mm nlimwambia atafute laki aombe cheti mbadala necta kuliko kuwapa 400k hao watu, tatzo napo huko necta hajui atapata kwa muda gani hcho cheti maana kuna watu wanasema inaweza kuchukua hata miaka kupata
 
Mzee cheti aliacha kpind anajisajili ajaweka bondi, napia nmesema aliona kwamba hyo 400k hawezi iliipa akawaomba wakagoma, akasema sawa basi naacha chuo npeni vyeti vyangu ndo wakagoma tena kumpa cha form4 wakampa chakuzaliwa, mbna maelezo yanajitosheleza hapo kaka
 
Mmmh data base za engineer hasa mechanical, auto, electrical nayo japo kiduchu itaguswa soon si unaona mecha wemeanza kuwakumbuka😁
 
Mmmh data base za engineer hasa mechanical, auto, electrical nayo japo kiduchu itaguswa soon si unaona mecha wemeanza kuwakumbuka😁
dah yaani mechanical ndio kabisaa wamewasahau na bado wanatoa matangazo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…