Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ridhiwani toka aingie, pdf zimepungua
Alipopelekwa ni kutafuta machimbo ya ajira na huyu Jamaa akiendelea na msimamo wake alionyesha Utumishi tutaona Taasisi ambazo toka PSRS kuazishwa hazijawai kutangaza........
Sema Naibu aliyeletwa sasa kashaaza na mambo ya Intern tunawafikiria hapo ndo tutaona Mengi zaid....
 
Atulie afuate utaratibu..mambo ya interns hayapo, wakafanye mitihani
 
Kwa hiyo bora kingereza sio
Kama ni level ya degree then unaandika barua kiswahili inakuwa sio poa otherwise uambiwe andika kwa kiswahili kulingana na tangazo, alafu hata zile interview wanazo kuambia chugua lugha kati ya kiswahili na kingereza ni vizuri utumie kingereza , otherwise waseme wenyewe tumia kiswahili tu!
 
Shukran sana brother mwifw nimeelewa vyema.
 
Ndio Tangazo lilisema tuandike kiswahili
 
Nilichokuwa nauliza mm ni kuwa sikuona kiswahili fasaha cha neno admission officer na quality assurance moja kwa moja hivo hayo maneno niliyatumia kama walivyoandika
 
Wakuu nina recieved 11 nijiandae na bajeti ya shingapi kuhudhuria saili zote zitakazonihusu pale dodoma mimi nipo dar
Tufanye mfano received zote hizo zimefatana kwa mpangilio mzuri,
mfano usaili wa kwanza n trh 1 & 2 Septemba, halafu usaili wa pili n trh 3 & 4 Septemba, halafu usaili wa tatu n trh 5 & 6 Septemba na kuendelea. Hapo andaa sio chini ya 800k na pesa nyingi italika kwenye guest house mana hapo utalala kwa siku kama 20×30000 = 600k Ila kuna baadhi wanatoa discount kama utalala zaidi ya wiki.

Pia inaweza kufika 1M 😂

Kama ndio saili zimegongana siku moja, bc kubali kupoteza zingine japokuwa wana utaratibu wa kuwawezesha wale wenye saili zaidi ya moja ila hy yako ya received 11 cjui itakuaje.
 
Tangazo la kazi la kingereza umeandika barua ya kiswahili ya nini? I mean sio sheria lakini ni sawa na mtu akusalimie good morning halafu umjibu salama mzima??​
Tangazo limesema lugha 2 kiswahili na english kaka wewe waza yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…