Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Mwaisa google ipo kwa ajiri yakoWakuu naomba kuuliza kishwahili sahihi cha ADMISSION OFFICER NA QUALITY ASSURANCE ni kipi??
Admissiom officer huyu ni afisa msajiri (ana husika na kusajiri wanafunzi )
Quality assurance huyu ni muhakiki ubora yeye ndo anahusika na kuhakiki ubora (iwe mitaala au mambo yote yanayohusika na taaluma au kozi inayotolewa kwenye vyuo,yeye anaangalia ubora wa mtaala wa kozi husika)