Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Wapi Ajira Portal? Ikiwa ni huko hata hawaconsider ile CV uliyoweka. Wanaconsider kozi uliyosoma na kama umemeet vigezo vya kuomba hiyo kazi as per maelekezo.Wakuu, ikiwa unataka kuapply kazi mbili tofauti, ukisha apply kazi ya kwanza kwenye kipengele cha CV, ile CV unadelete au unaedit ? Ili uweke CV ya kazi ya pili.
iyo inakua ni nyoya moja kwa mojaKwahiyo ikiwa hivyo not selected for oral, je kuna possibility ya kuwa kwenye database kweli? Maana tuulize mapema ili mikando ya MDA & LGA ikianza tujue tunaruka nayo vp ili tusiwe not selected
Vipi kipenga cha usaili kimelia??NAWEZA NKAPATA HUMU JOB DESCRIPTION ZA AJIRA ZA WALIMU
Hapana nataka kujpanga mapemaVipi kipenga cha usaili kimelia??
Ok job description zipo kwenye tangazo la kazi uliyoombaHapana nataka kujpanga mapema
Ungenpestia hapa ningeshukuru sana smu yangu nzto sana kwny kufungua mapdfOk job description zipo kwenye tangazo la kazi uliyoomba
i. Prepare work resolutions, lesson plans, lesson notes, and a work plan for other assigned duties.NAWEZA NKAPATA HUMU JOB DESCRIPTION ZA AJIRA ZA WALIMU
Asantei. Prepare work resolutions, lesson plans, lesson notes, and a work plan for other assigned duties.
ii. Develop and review teaching and learning materials.
iii. Teach, assess, and maintain records of students' progress.
iv. Monitor and track students' attendance at school and in class.
v. Oversee the intellectual, physical, and spiritual development of students, and provide counseling and guidance.
vi. Provide professional and academic advice on educational development.
vii. Manage and maintain school equipment and property.
viii. Perform other duties as assigned by the Head of School, in line with the school's responsibilities.
Kwahy hapa kila duty natakiwa niisome kwa undani au nizsome hzo in generali. Prepare work resolutions, lesson plans, lesson notes, and a work plan for other assigned duties.
ii. Develop and review teaching and learning materials.
iii. Teach, assess, and maintain records of students' progress.
iv. Monitor and track students' attendance at school and in class.
v. Oversee the intellectual, physical, and spiritual development of students, and provide counseling and guidance.
vi. Provide professional and academic advice on educational development.
vii. Manage and maintain school equipment and property.
viii. Perform other duties as assigned by the Head of School, in line with the school's responsibilities.
Aisee!!!! Kweli kuna haja ya kujivika mabomu hiyo siku, afe beki..... afe kipa! We should be selected for oral!iyo inakua ni nyoya moja kwa moja
Pepa limeemdaje mwaisa?Kazi ipo aisee
Tupe feedbackKazi ipo aisee
Mkuu sijawai fanya interview kama ya leo aiseeTupe feedback
Walicgotufanya wanajua wao mkuu ntasema majibu ya oral yakitokaPepa limeemdaje mwaisa?
lakini uhakika wa oral si upoMkuu sijawai fanya interview kama ya leo aisee
Kwa nini unasema hivyo mkuu. Unanitisha😀😀Mkuu sijawai fanya interview kama ya leo aisee