oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Walimu huu mwaka wao za ndanii kabisa nasikia watachukuliwa wengi sana.Job description ziko kwenye tangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu huu mwaka wao za ndanii kabisa nasikia watachukuliwa wengi sana.Job description ziko kwenye tangazo
haya sasa asali ya wazi iyoo
Hii haijapitia psrs
Unamaanisha tofauti na idadi iliyoandikwa kwenye Tangazo?Walimu huu mwaka wao za ndanii kabisa nasikia watachukuliwa wengi sana.
Sawa,ntafanya hvyo bossTafadhali mpokee na kukamilisha taratibu za ajira yake😄😄
psrs wenyewe wameamua kuinawa 🤣 🤣 🤣Hii haijapitia psrs
Hii hata siwezi kuchoma nauli kwenda dom 🙄psrs wenyewe wameamua kuinawa 🤣 🤣 🤣
😀😀 toka tupate uhuru nafikiri ndo Tangazo la kwanza la hviHii hata siwezi kuchoma nauli kwenda dom 🙄
Wakachomoe watu database mzee 😂😂😂😂 kama naona vijana wakiikataa placement😀😀 toka tupate uhuru nafikiri ndo Tangazo la kwanza la hvi
Unajiuliza miaka yote nani alikuwa mzikaji na kwann waone kuwe na watu maalumu ya hicho kitengo na hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi maana hawa wstakuwa wanakula salary kila mwezi,duuuuh awamu ya 6 nyoko sana aisee
Tuanze kwako wewe utaendaWakachomoe watu database mzee 😂😂😂😂 kama naona vijana wakiikataa placement
Tuanze kwako wewe utaend
Kipengele hichoTuanze kwako wewe utaenda
Umechukua Barua yako Migiro nini[emoji3][emoji3]Tafadhali mpokee na kukamilisha taratibu za ajira yake[emoji1][emoji1]
Sijaelewa usahili unafanyika kwa kila mkoa au?Afya mjiandae kwa mikandoView attachment 3079435
Ndio ni mikoaniSijaelewa usahili unafanyika kwa kila mkoa au?
unachagua mkoa wa kufanyia auNdio ni mikoani