πππ Usione tunaulizia pdf kila siku ukatuona namna gan vp...huko pamoto hatutaki kurudi rudi ukoMkuu sijawai fanya interview kama ya leo aisee
Mwaisa pole hao jamaa wakuda sanaππMwaisa
Walicgotufanya wanajua wao mkuu ntasema majibu ya oral yakitoka
20 mkuu multiple choice unajibu na essay tano mda lisaa limojaMwaisa pole hao jamaa wakuda sanaππ
Relax ukiwa unaendelea kusubiri matokeo weka maswali hapa ukiyokutana nayo
Je kulikuwa na maswali mangap jumla?
Research ilikuwepo?
Mkuu mtihani ulikua written mwanzo mwisho essay za kutoshaTupe feedback
Mhh kumbe huko ndani ni ubaya ubwela20 mkuu multiple choice unajibu na essay tano mda lisaa limoja
Kada gani hii mkuu,mambo ya essay tenaMkuu mtihani ulikua written mwanzo mwisho essay za kutosha
Mkuu ngoja majibu kufika jtatu ntapanda jukwaanilakini uhakika wa oral si upo
Dah ndugu yangu pole sana πMkuu ngoja majibu kufika jtatu ntapanda jukwaani
Hii inaitwa kipima jotoπ20 mkuu multiple choice unajibu na essay tano mda lisaa limoja
Dah ndugu yangu pole sana π
ahh ushapita we anza kujisomea kwaajili ya oral sasa..Mkuu ngoja majibu kufika jtatu ntapanda jukwaani
Ilisha anza mkuu ila unatakiwa ujipange kwa written ya aina yeyote kulingana na wakandaji watakavoona kwenye post ulio omba,wanaweza wapangia online au ukafanye pepa Dodomahiyo system ya online haianzi tu
Mkuu maswali 5 ya essay na multple choice wametoa dk 40 tufanyeahh ushapita we anza kujisomea kwaajili ya oral sasa..
Duh essay 5 kada gan mkuu20 mkuu multiple choice unajibu na essay tano mda lisaa limoja
Jamaa hataki kusema ila kuna wa afya wa huko bungeni ndo wameitwa labla ndo hawa wamekandwa vilivyo πDuh essay 5 kada gan mkuu
Mwacheni atulize akili wakuuJamaa hataki kusema ila kuna wa afya wa huko bungeni ndo wameitwa labla ndo hawa wamekandwa vilivyo π
Kuna mwingine alisema ana malengo na utumishi, narudia wale ni atar wanajua kukanda psrs jiandae hasa.Mwacheni atulize akili wakuu
Sahvi nahisi yupo chako ni chako anajiliwaza
Tena anapenda mishangazi huyoπ
Human resource mkuuDuh essay 5 kada gan mkuu
Job description ziko kwenye tangazoNAWEZA NKAPATA HUMU JOB DESCRIPTION ZA AJIRA ZA WALIMU