Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii hata siwezi kuchoma nauli kwenda dom πŸ™„
πŸ˜€πŸ˜€ toka tupate uhuru nafikiri ndo Tangazo la kwanza la hvi
Unajiuliza miaka yote nani alikuwa mzikaji na kwann waone kuwe na watu maalumu ya hicho kitengo na hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi maana hawa wstakuwa wanakula salary kila mwezi,duuuuh awamu ya 6 nyoko sana aisee
 
Wakachomoe watu database mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama naona vijana wakiikataa placement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…