Duh kivumbi hii πAnamaanisha haya
Sijatoboa mkuuAcha ujinga mdogo wangu,kwann unajikatia tamaa mwaisa hiyo nafasi ni yako Mungu yuko pamoja nawe,Hongera kwa kupita hatua ya mchujo
Ingia bungeni ili nikija dodoma uwe unanipokea na kunitembeza mitaaniππ
Maandalizi mema kuelekea oral
Utawala2025 mahali alipo sasa hv anatamani hata kujinyonga mana jamaa anaogopa Interview knoma πHumu ndani kuna dingi alituambia Tamisemi wamewaambia utumishi wao hawana bajeti ya kuendeshea interview hivo watu tujiandae kupangiwa vituo vya kazi
Nikafurahi balaa naona jamaa wameuma meno hakuna kitonga lazima watu wakakandwe sijapenda ila sina namna
Bado hujasema πHumu hakuna hata afisa wa utumishi nimuhonge
πππNilijua tu mtafurahi kusikia sijatoboa umbwa ninyi ngoja litoke pdf miez kadhaa mbele nije nitoe ushuhuda
Usicheke database lazima niwepo mkuu ila kutoboa nafasi iyo ni 1%πππ
Sasa database utakuwaje kama ukifeli oralUsicheke database lazima niwepo mkuu ila kutoboa nafasi iyo ni 1%
Uhonge nn mkuuHumu hakuna hata afisa wa utumishi nimuhonge
Tulia kwanzaSasa database utakuwaje kama ukifeli oral
Sawa sawa mkuuTulia kwanza
Hawa matapeli mkuu sisi tumeandikishwa kwenye bookletJibu hilo hapo View attachment 3079567
πππakasema ana mtu wa utumishi kampa za ndaniiii kabisaaaaUtawala2025 mahali alipo sasa hv anatamani hata kujinyonga mana jamaa anaogopa Interview knoma π
Nipo hapa, una bei gani π€π€Humu hakuna hata afisa wa utumishi nimuhonge
Yamekuwaje hayo matokeoNimeangalia matokeo ya kada ya Dental na Famasi.
Nimeshindwa kuelewa lengo la utumishi kwa kweli.
Pole mkuuu hao ndio utumishi mkuuNimeangalia matokeo ya kada ya Dental na Famasi.
Nimeshindwa kuelewa lengo la utumishi kwa kweli.
Shingapi braza nikutaftie nikupe maana mtaani hali mbayaNipo hapa, una bei gani π€π€
Sasa mtakoma ππππakasema ana mtu wa utumishi kampa za ndaniiii kabisaaaa
jamaa alinichukua hata mimi nikamuamini