sam mirror 1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 969
- 2,318
Mbn ivo amepita kesho naamini anaenda kuwakanda utumishi.Kwahiyo mkuu hukupita kwenda oral au sio
aah bas sawa maana mkuu haeleweki...maana kama anasikitika vileMbn ivo amepita kesho naamini anaenda kuwakanda utumishi.
Alikuwa mtu wa tano naamini akikaza anatoboaaah bas sawa maana mkuu haeleweki...maana kama anasikitika vile
Hao watano wametoboa tayar...akikosa hapo anaingia databaseAlikuwa mtu wa tano naamini akikaza anatoboa
Mkuu kuwa na aman sikupita kuwa na amani niliku na 42 nilikandwa mkuuKwahiyo mkuu hukupita kwenda oral au sio
Hahaha 🤣 🤣 😂 😂 ubaya ubwelaMkuu kuwa na aman sikupita kuwa na amani niliku na 42 nilikandwa mkuu
ndio wanavikaguaHivi ukiitwa written unatakiwa kwenda na vyeti original pia?
Usiwaze sisi wengine wakongwe, ata tukikandwa tunarudi home fresh tu...Mkuu kuwa na aman sikupita kuwa na amani niliku na 42 nilikandwa mkuu
Bado maandalizi yako hayakuwa mabaya next time utafanikiwa ilibaki kidogo ufike 50 kuna watu wana 13 hapoMkuu kuwa na aman sikupita kuwa na amani niliku na 42 nilikandwa mkuu
Mkuu kwa hizo post za wakemia kuna mdau kasoma lab akiomba wanamwambia hawez kuapply na kaweka vyeti vyote kwa hii changamoto utumishi wanaweza kumsaidia maana zile ajira za lab za nyuma aliweza kuapply vzuri tuWakemia na wengineo ongezeni received then muendelee na hustle
Nakubaliana na wewe sababu ni MCQS ambapo kila topic/module inaweza kutoa swali.Nimekua nikihidhuria mikando toka mwaka 2022. Katika mabadiliko haya, mikando inazidi kuwa migumu, mosi, coverage, aptitude inatoa fursa kwa wakandaji kutunga mkando kwa topic/modules/course nyingi zaidi.
Datascientist 😀😀Kuna jamaa humu anawaza ku google...hawajui psrs
Amesoma Lab ipi?Mkuu kwa hizo post za wakemia kuna mdau kasoma lab akiomba wanamwambia hawez kuapply na kaweka vyeti vyote kwa hii changamoto utumishi wanaweza kumsaidia maana zile ajira za lab za nyuma aliweza kuapply vzuri tu
Medical lab technologyAmesoma Lab ipi?
Medical Lab au Lab Technology ?
Unajua binadamu ni mtu mwenye tamaa,lolote linaweza kutokea maana akiingia tamaa anaweza vujisha ila kwa kifupi wapo makini sana utumishiWakuu hivi paper za utumishi huwa hazivuji?
Asee Kwa hiyo hao jamaa wa utumishi wanakaza hata kwa watoto wa vigogo😂Unajua binadamu ni mtu mwenye tamaa,lolote linaweza kutokea maana akiingia tamaa anaweza vujisha ila kwa kifupi wapo makini sana utumishi
Jiandae vyema tu mkuu utafaulu tu hakuna janja janja ndo maana unaona watu wanapiga namba za viatu hapo na amechoma nauli kigoma to dom😂