Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nakubaliana na wewe sababu ni MCQS ambapo kila topic/module inaweza kutoa swali.

Kwenye written ya kuandika kwenye karatasi ndio topics chache zilikuwa zinatolewa hasa swali likiwa la kuelezea
Ila hii ndio mbaya sana koz wanaanzia topic ya kwanza hadi mwisho unatakiwa usome kila kitu aiseee
 
Back
Top Bottom