Rahsully
Senior Member
- Aug 2, 2023
- 120
- 195
Unatafuta nn huko pdf ad January 🤣🤣jaman portal inafunguka uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta nn huko pdf ad January 🤣🤣jaman portal inafunguka uko
Walimu watie maji maana wenzao wameshanyolewa tayari.Under Maintenance-ajira portal...afya leo kazi wanayo
Hakuna hiyo mkuu sooon nenda rud za wasimamizi ni gharama zaid hiii itakuwa weka tuwekeYn mpaka watu wa afya na waalimu wamalize mambo yao, aisee sisi wngn tuwe wapole mpaka mwezi wa 11 ndio tutaanza kukumbukwa.
Na hapo n mpaka pdf za replacement za waalimu na watu wa afya zipite ndio na sisi tukumbukwe.
Pointless aka PumbaHakuna hiyo mkuu sooon nenda rud za wasimamizi ni gharama zaid hiii itakuwa weka tuweke
Ila kodi za wananchi zinatumika aisee per diem mmoja anaweza kukunja 600k je wapo wangapi mikoa yote 20+ kwa mantiki ipi??
Hiii tume wangeweka utaratibu at list kuomba ajira mtu alipie 10k kwa ajila taasisi ipate kujiendesha!! Kama tunavyo omba chuo kujiunga.
Chief ikiwa jobless hajui kula yake iko vipi.Hakuna hiyo mkuu sooon nenda rud za wasimamizi ni gharama zaid hiii itakuwa weka tuweke
Ila kodi za wananchi zinatumika aisee per diem mmoja anaweza kukunja 600k je wapo wangapi mikoa yote 20+ kwa mantiki ipi??
Hiii tume wangeweka utaratibu at list kuomba ajira mtu alipie 10k kwa ajila taasisi ipate kujiendesha!! Kama tunavyo omba chuo kujiunga.
Mkuu Nini kimetokea tujulisheVyuo vingi vya afya vimeshindwa kufuta ujinga wa wanafunzi wao...haiwezekani mwanachuo akashindwa kusoma na kufuata maelekezo madogo yaliyowekwa kwenye tovuti ya psrs zaid ya mwezi...
Atatibu vipi wagonjwa vijijini uko...
Leo kuna raia wamekosa interview kizembe
Yaani wamefanya makosa ya kijinga...Mkuu Nini kimetokea tujulishe
Hawajafunga, ila c usaili n kupitia mtandao hvy lazima waushushe ili watahiniwa wamalize kazi zao pamoja na kuwawekea matokeo yao.Naona wamefunga Portal leo, wamehisi kuna watu wanaweza kujipangia vituo au...
Mpk wamefunga portal sijui tu uko vilio baada ya paper
Ndio, kwa wengine sisi leo tuvumilie tu ila wasijeharibu status zetuHawajafunga, ila c usaili n kupitia mtandao hvy lazima waushushe ili watahiniwa wamalize kazi zao pamoja na kuwawekea matokeo yao.
Hvy tutegemee hayo ikifika zamu ya waalimu.
Hahaha 🤣 🤣 muhimu status iwe selected for oralNdio, kwa wengine sisi leo tuvumilie tu ila wasijeharibu status zetu
Fact mkuu tatizo walizoea mselelekoWalimu watie maji maana wenzao wameshanyolewa tayari.
Nadhani watajifunza utumishi hawana masiharaYaani wamefanya makosa ya kijinga...
copy ya vyeti, copy ya NIDA, Kasahau cheti kimoja maskani.....alafu wapo wanasema eti Utumishi hawapo fair
wasije wakaharibu alafu mambo yakawa mengiHahaha 🤣 🤣 muhimu status iwe selected for oral
Kuipata selected for oral ni damu na machozi aniwasije wakaharibu alafu mambo yakawa mengi
Hapo PSRS hawana makosa wasije wakawalalamikia mana waliwapa utaratibu vitu vya kwenda navyo kwenye usailiYaani wamefanya makosa ya kijinga...
copy ya vyeti, copy ya NIDA, Kasahau cheti kimoja maskani.....alafu wapo wanasema eti Utumishi hawapo fair