Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nilichosema ni Mama kumletea bosi wakati yy kakaimu mwaka mzima...hapa mama hajamfanyia fair sababu hii kitu inauma sana
Huenda vetting yake ime-fail, pia kumbuka hapo PSRS wakuu wake huwa ni watu wa ile taasisi nyeti, huenda yeye sio nyoka. Kumbuka hata Xavier Daudi aliletwa hapo kutokea majengo yale ya Oysterbay
 
Labda tuwakumbushe tu, Siku ya kufanya oral wabebe makabrasha yote kama walivyobeba kwenye written. Wasije kusema hatukuwaambia
Huu ni usumbufu mpaka mtu apite kwenda oral ina maana amekidhi vigezo vya kufanya mtihani kwanini umbebeshe tena mavyeti. Kwanini asibebe ID peke yake. Nchi ya hovyo kweli hii
 
Huu ni usumbufu mpaka mtu apite kwenda oral ina maana amekidhi vigezo vya kufanya mtihani kwanini umbebeshe tena mavyeti. Kwanini asibebe ID peke yake. Nchi ya hovyo kweli hii
Kwenye oral ndio unaenda kukutana na mwajiri mwenyewe au mwakilishi wa mwajiri, lazima na yeye ajiridhishe.
 
Kwenye oral ndio unaenda kukutana na mwajiri mwenyewe au mwakilishi wa mwajiri, lazima na yeye ajiridhishe.
Kuna interview nilifanya kampuni moja ya waingereza hapa Dar. Waliomba niwatumie cheti cha degree na Id kwa portal yao. Baada ya kutuma wakanipa reference number. Siku ya interview wanaomba reference number waliyokupa ukiwatajia computer yao ina mark green color unaingia ndani kufanya mtihani.
 
Sasa hapo Unazungumzia utaratibu wa sehemu mbili tofauti, na ndo tatizo lako linapoanzia.
Cha kufanya, ww njoo na utaratibu wako afu na utumishi nao waje na utaratibu wao then utajua nani mkubwa kumzidi mwenzie
 
Ndio mambo Mh Rais anayapigia kelele kila siku. Kwanini mifumo isisomane. Waajiri wakipewa majina ya watakaofanya Oral, wasome details zao kwenye portal moja kwa moja. Yani tunafanya mambo kuwa magumu na marefu.
 
Nmekusoma mkuu, bc sio kosa la utumishi, ni kosa la serikali kwa ujumla
 
Wakuu naomba kuuliza, kutokana na hii shida wanahokutana nayo watu wa afya ....je Cheri cha kuzaliwa Cha mwaka 97 hamna shida au lazima nithibitishe Rita??
 
Nisamehe mkuu nimekosea mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…