Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nmekuuliza,yeye ndo alikuwa anachelewesha vibali vya ajira kutolewa?
Kama alikuwa hawashinikizi wahusika automatically kahuska kuchelewesha. Ukute alikalia kumsifia tu mama, unategemea atakuwa na lolote
 
Hawa watu walioko kwenye system wanatuchukulia poa Sana tulio nje ya system ndio maana kutakiana mabaya ni jambo la kawaida. Wewe una ona ni sahihi majobless wanayoyapitia?

Hakuna kitu chochote cha ajabu ambacho jobless anapitia. Mchakato wa ajira ni process inayoinvolve players wengi. Na tatizo haliwezi kuwa mtu mmoja bali mfumo mzima ulivyo.

We all have been there. Zamu yako itafika na kama Mungu amekuandikia hiyo kazi utaipata wala hakuna shaka juu ya hilo. Zamu yako ikifika hakuna wa kuzuia.

Mwaka 2019, nilifanya interview moja tu na ya kwanza ya PSRS na nikalamba asali right away. Mdogo wangu Mwifa amefanya interview nyingi hadi kuja kulamba asali. Lakini leo wote tumesahau na kila mtu anaendelea na maisha.

Usikate tamaa ukakufuru hadi kuanza kuwatakia wenzio mabaya, utakimbiza baraka zako. Katibu sio tatizo. Kwa uzoefu wangu, ukitaka kupata ajira serikalini fanya yafuatayo.
  1. Muamini Mungu. Yani kuwa na imani kwamba kuna higher being mwenye nguvu kuliko wewe na mwenye uwezo wa kukusukumia mambo yako yakaenda.​
  2. Fanya maandalizi ya maana. Soma sana kada yako. Kifupi imaster taaluma yako ili popote watakapokuleta usiwe na shida​
  3. Omba kazi zote na attend saili zote uongeze possibility ya kupata hiyo kazi. Inabidi uwe smart kwa ujumla​
  4. Wakati unasubiri michakato ya ajira ya serikali, unaeza pia anza kuangalia michakato mingine ya private sector au ajira binafsi na ujasiriamali mdogo mdogo ili usiwe idle ukawa na pressure kubwa ya kusubiri matokeo​
 
Rushwa mkuu ilikua imekithiri kk

Mnatoa tuhuma nzito bila kuwa na ushahidi wowote kisa placement tu ndugu zangu? Nani kahonga? Lini? Kahonga shilingi ngapi? Alimtumiaje/alimpaje? Alipangiwa kituo cha kazi?? Alifaulu au hakufanya kabisa interview? Mbona we hujahonga upate placement TPDC au TCRA?

Tunahitaji mshauri nasaha kwenye huu uzi.​
 
Hakuna kitu chochote cha ajabu ambacho jobless anapitia. Mchakato wa ajira ni process inayoinvolve players wengi. Na tatizo haliwezi kuwa mtu mmoja bali mfumo mzima ulivyo.

We all have been there. Zamu yako itafika na kama Mungu amekuandikia hiyo kazi utaipata wala hakuna shaka juu ya hilo. Zamu yako ikifika hakuna wa kuzuia.

Mwaka 2019, nilifanya interview moja tu na ya kwanza ya PSRS na nikalamba asali right away. Mdogo wangu Mwifa amefanya interview nyingi hadi kuja kulamba asali. Lakini leo wote tumesahau na kila mtu anaendelea na maisha.

Usikate tamaa ukakufuru hadi kuanza kuwatakia wenzio mabaya, utakimbiza baraka zako. Katibu sio tatizo. Kwa uzoefu wangu, ukitaka kupata ajira serikalini fanya yafuatayo.
  1. Muamini Mungu. Yani kuwa na imani kwamba kuna higher being mwenye nguvu kuliko wewe na mwenye uwezo wa kukusukumia mambo yako yakaenda.​
  2. Fanya maandalizi ya maana. Soma sana kada yako. Kifupi imaster taaluma yako ili popote watakapokuleta usiwe na shida​
  3. Omba kazi zote na attend saili zote uongeze possibility ya kupata hiyo kazi. Inabidi uwe smart kwa ujumla​
  4. Wakati unasubiri michakato ya ajira ya serikali, unaeza pia anza kuangalia michakato mingine ya private sector au ajira binafsi na ujasiriamali mdogo mdogo ili usiwe idle ukawa na pressure kubwa ya kusubiri matokeo​
Baraka haziwezi kimbia. Mengine umeongea sawa
 
Sisi Wabongo jinsi tulivyo, Usishangae na waalimu nao wakaja na hizi hizi vilio vya sasa vya watu wa afya, yn wote wakawa na same cases, wakati waalimu wako humu na wanaona yanayoendelea kwa watu wa afya.
Labda tuwakumbushe tu, Siku ya kufanya oral wabebe makabrasha yote kama walivyobeba kwenye written. Wasije kusema hatukuwaambia
 
Back
Top Bottom