Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapa hatujapata jibu Ila tunahisi Luna dalili ya Mfano MD akawa wa mwisho mkoa X kwa kupata 70 na mkoa mwingine wa kwanza akawa na 70 wa mwisho 50 Hii ndo hatujapata jibu tunawasubiri
Labda watoe kimkoa unaweza kuta ukapita ata na iyo 52 yako, lakini wakifanya kucompare cutpoint ya mikoa yote unaweza kuwa wa mkoa X ana 70 ndio wa kwanza afu mkoa Y mwenye 80 ndio wa mwisho hapa sijuhi itakaaje, Hii inafikirisha sana
 
Kigoma ukipata 50
Dar ukapata 70
Usitegemee wewe wa Dar utaenda Kigoma..hiyo imetoka...utaambiwa uzalendo
 
Kigoma ukipata 50
Dar ukapata 70
Usitegemee wewe wa Dar utaenda Kigoma..hiyo imetoka...utaambiwa uzalendo
Kumbe ndio ilivyo, inamaana utakapoombea ndio hapo hapo una struggle for fittest kikubwa ufaulu kuwazidi wengine kulinga na nafasi zinazotakiwa😂
 
Kwamba awe mzalendo na mkoa wake aliochagua 😂
Unaambiwa serikali inatoa huduma kwahyo kama ww umechagua kutoa huduma Dar na mwingine anaenda Kigoma..bas pambaneni na mlipochagua😀😀😀
Haya mawazo tu jaman namim sijui
 
Aliyepata 80 Dar ,asitegemee ataenda kufanya kazi kigoma kisa mtu wa kwanza kigoma ana 60. Nadhani nimemuelewa hivyo

Kuna mikoa watu wengi wanapenda kufanya kazi uko kutakua na competition sanaaa ila wale waliojilipua uko ambako hata umeme aujafika competition yao kidogo inanafuu

Ni kama vile tulivyokua tuna apply vyuo kuna vyuo vinakua na competition kwa sababu watu wengi wanapenda kusoma hapo na vyengine ni mtelezo tuu
 
Labda watoe kimkoa unaweza kuta ukapita ata na iyo 52 yako, lakini wakifanya kucompare cutpoint ya mikoa yote unaweza kuwa wa mkoa X ana 70 ndio wa kwanza afu mkoa Y mwenye 80 ndio wa mwisho hapa sijuhi itakaaje, Hii inafikirisha sana
Lazima uelewe ule umuhimu wa kila mtu kufanya usaili kwenye mkoa alioomba ajira. Hapo wanaangalia matokeo kimkoa kwanza. Kama mkoa hautakuwa na watu wa kutosha kuziba nafasi zao zilizotangazwa ndo wataletewa waliofaulu kutoka mikoa ya jirani.

Kama lengo ni kuangalia overall waliofaulu kungekuwa hakuna haja ya kwenda kufanya usaili ulipoombea kazi.
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Na hapo hakuna wa kulaumiwa maana kila mtu aliomba mkoa anaotaka yeye. Kama mkoa ulioomba ni more competitive na unajua hauna uwezo basi imekula kwako
 
Sio uki tu mzee...taasisi nyeti kupata kaz mtihani
Mbona kuanzia 2020-2023 watu walikuwa wanalamba asali na shuhuda zipo humu....
Tatizo.....
Baada ya lile Tangazo kutolewa(kila Taasisi kuajiri)ndo mambo yamekuwa Magumu....
Yote wanabebana na ishu ilitengenezwa wao kwa wao walikuwa na Lengo lao na 👍..
Sasa kuelekea Uchaguzi mpira urudi tena Utumishi mambo yaendelee
 
Ata mwaka huu watu wamelamba, idadi ya wanaopata ajira ni ndogo sana unakuta raia 2 tu mwaka mzima
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Na hapo hakuna wa kulaumiwa maana kila mtu aliomba mkoa anaotaka yeye. Kama mkoa ulioomba ni more competitive na unajua hauna uwezo basi imekula kwako
Watu wa afya karibu mikoa yote ratio ya kupambania nafasi 1 iliendana ,mfano kuna mikoa nafasi 1 watu 4 na mingine watu 5 mpaka 6 adi 7 yani hapa ndio kivumbi. Competition kubwa sana uko mikoani
 
HIi ina mantiki, hizi sahili za afya kuna mkoa X kada flani waliofanyia written hapo wahakupita ata mmoja kwenda oral, hivyo candidates kutoka mkoa Y ndio walipigia oral pale na nafasi zilizohitajika ni zaidi ya wale waliofika pale. Ina maana kuna uwezekano kabisa wa kuchukua watu wa mikoa mingine waliofaulu oral kuziba nafasi wazi
 
Eh afya ipi hy hawakupita kwenda oral?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…