Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Karata vigogo waliocheza mwaka jana kwa Mama kupigania intern(watoto wao) waingie kwenye system bila interview( TRA NA NSSF )wamefanikiwa hilo lengo lao mapema sanaa.....
Sio uki tu mzee...taasisi nyeti kupata kaz mtihani
 
Acha kuwatetea msaka tonge mwenzetu.

Nimefanya oral staasisi kubwa na treatment ya juzi ilikuwa ya ovyo.

Kwanza hakuna panel ilikuwa na watu 100.

Wasaili walikuwa wanne wasailiwa walikuwa 20 inategemea na kada.

Muda DK 15.

Ila wengi wamefanya Dk 5 hadj 10 tena kwa kukimbizwa puts puta.

Asubuhi wanajizungusha wanakuja kuanza pepa saa 7 mchana baada ya kula unategemea nini hapo ?

Kiukweli hatuwezi kueleza mengi ila walikuwa Harsh.

Unashangaa ww unawatetea msubiria mikeka mwenzetu
Duuhhhh, Mungu aingilie kati
 
Wale jamaa huwa wanatabasamu na kukupa maneno mazuri hata kama umefeli....ni ngumu kujiaminisha umetoboa..kikubwa ujibu maswali yte vzr
Na baada ya kumaliza usahili tutarajie comment gani nzuri nzuri kutoka kwao au kikubwa umemaliza intervyu unasepa? Wanaweza kukwambia hongera umefanya vzuri na ukaachwa na kukupokea vyema ukiwa unajibu maswali na ukaachwa😂
 
Mfano mkoa X wapo 8 na wanaohitajika ni 6 wakat huo matokeo yametoka mtu wa mwisho kwenye 6 waliochaguliwa ana 52, mkoa mwingine wa kada hio hio wasahiliwa wapo 20 alaf nafasi zipo 10 wakati huo Kuna mtu hajapata kati ya hao 20 lakini ana marks 60, je watafanyaje apo ?
 
Hapa hatujapata jibu Ila tunahisi Luna dalili ya Mfano MD akawa wa mwisho mkoa X kwa kupata 70 na mkoa mwingine wa kwanza akawa na 70 wa mwisho 50 Hii ndo hatujapata jibu tunawasubiri utumishi?
 
Back
Top Bottom