PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 153
- 399
Karata vigogo waliocheza mwaka jana kwa Mama kupigania intern(watoto wao) waingie kwenye system bila interview( TRA NA NSSF )wamefanikiwa hilo lengo lao mapema sanaa.....
Daah! Alafu wanachagua sehemu zile zenye maokoto ya maana.