Walimu wengi wamekuwa sababu ni zifuatazo.Kwahyo sikuiz rasmi waalimu washaingia katika mfumo wa kufanyiwa interview??
Aisee hii nina uhakika litapunguza watu kukimbilia kusomea ualimu..
Anajiuma uma tuHana hoja huyo bali utoto umemjaa.
Walimu wengi wamekuwa sababu ni zifuatazo.
Karibia vyuo vyote nchini vinatoa Education
Zamani mkopo ulikuwa asilimia 100.
Kingine ndo kazi hata ukiwa na D mbili unasoma tofauti na course nyingine Hasa za afya.
Hivyo kuweka usaili kwa walimu sio kigezo kitakachofanya watu waache kusoma ualimu.
Punguza kuandika pumba

uko sawa kabisaNgojea nikuelekeze ndugu, mimi nakuelekeza bila kukutukana na wala kupanic kwa sababu akiri yangu iko matured..
Ni iv: mimi nilichokisema katka huo uzi ni moja ya sababu inayoweza pelekea na hata ww ulizozitoa hapo ni baadhi ya sababu zilizofanya watu wengi wasome ualimu ila kuna watu/ mtu kasoma ualimu bila hata izo sababu zako ulizo zi mention hapa hata moja kuchangia je unalijua ilo? So kwa mtu kama uyo nae aje aseme ww unaandika pumba kwakua yy aliamua kusoma ualimu na hakuna hata sababu yako moja iliyo mfanya akasome?
Mimi niliyosema ni moja kati ya vitu vilivyokua vinawavutia watu wengi kusomea ualimu.
ππ Huu uzi unapitia kipindi cha changamoto tuu
So unataka kuniambia wewe kwa mawazo yako watu walikuwa wanasoma ualimu kwa kigezo cha ajira ya moja kwa moja si ndivyoNgojea nikuelekeze ndugu, mimi nakuelekeza bila kukutukana na wala kupanic kwa sababu akiri yangu iko matured..
Ni iv: mimi nilichokisema katka huo uzi ni moja ya sababu inayoweza pelekea na hata ww ulizozitoa hapo ni baadhi ya sababu zilizofanya watu wengi wasome ualimu ila kuna watu/ mtu kasoma ualimu bila hata izo sababu zako ulizo zi mention hapa hata moja kuchangia je unalijua ilo? So kwa mtu kama uyo nae aje aseme ww unaandika pumba kwakua yy aliamua kusoma ualimu na hakuna hata sababu yako moja iliyo mfanya akasome?
Mimi niliyosema ni moja kati ya vitu vilivyokua vinawavutia watu wengi kusomea ualimu.
Watoe mikeka wasengeleaamaa hao wanakaa na Majina miezi na miezi.[emoji23][emoji23] huu uzi unavumilia mengi sana
PDF litoke tu ππππ Huu uzi unapitia kipindi cha changamoto tuu
Watoe mikeka wasengeleaamaa hao wanakaa na Majina miezi na miezi.
Mwezi wa nane na Tisa mikeka haifiki mitano
Pdf litoke watu wawe busy kufurahi na wengine walie majumbani mwao π waache kutoa mapovu yao humuPDF litoke tu ππ
Hawajamaa wamepatwa na nini?PDF litoke tu [emoji23][emoji23]
Huu ndo ule mda ambao ulivyokua mtoto ulikua unapishana na mtu anaongea peke yake unamuona wa ajabu.. Sasa iki kipind ndo nawaelewa vizuri.( wanisameage tu kwa nilivyokua nawachukulia).Watoe mikeka wasengeleaamaa hao wanakaa na Majina miezi na miezi.
Mwezi wa nane na Tisa mikeka haifiki mitano
So unataka kuniambia wewe kwa mawazo yako watu walikuwa wanasoma ualimu kwa kigezo cha ajira ya moja kwa moja si ndivyo
Mbona serikali ilikuwa inalalamika kuacha kazi wakipangiwa vituo vya kazi.
Mimi nilitarajia katibu mpya alivyokuja na mikeka itatembea.Huu ndo ule mda ambao ulivyokua mtoto ulikua unapishana na mtu anaongea peke yake unamuona wa ajabu.. Sasa iki kipind ndo nawaelewa vizuri.( wanisameage tu kwa nilivyokua nawachukulia).
Eeeh kikubwa ijulikane tu , ili kama ni kufuga kuku basi ijulikane mapema, πPdf litoke watu wawe busy kufurahi na wengine walie majumbani mwao π waache kutoa mapovu yao humu
Wasenge wanaboa Hatari.Eeeh kikubwa ijulikane tu , ili kama ni kufuga kuku basi ijulikane mapema, [emoji23]
Ndugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877