Walimu wengi wamekuwa sababu ni zifuatazo.Kwahyo sikuiz rasmi waalimu washaingia katika mfumo wa kufanyiwa interview??
Aisee hii nina uhakika litapunguza watu kukimbilia kusomea ualimu..
Karibia vyuo vyote nchini vinatoa Education
Zamani mkopo ulikuwa asilimia 100.
Kingine ndo kazi hata ukiwa na D mbili unasoma tofauti na course nyingine Hasa za afya.
Hivyo kuweka usaili kwa walimu sio kigezo kitakachofanya watu waache kusoma ualimu.
Punguza kuandika pumba