Hapa naot na heslb ni Mwakani zile za September zinatoka mwezi ujaoHapo naona wattoa pamoja na hizi saili za NAOT na HELSB
Soma research yote uielewe siunajua kutumia SPSS??STATISTICIAN II.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
1/. To design and develop National statistical system.
2/. To construct statistical procedures general and Sampling statistical system.
3/.To collect, analyse and dissemination statistical information at upper levels.
4/.To do other works assigned by supervisors.
Yeah najuaSoma research yote uielewe siunajua kutumia SPSS??
Nadhani kama watatoa prac mtakutana na SPSS au Excel lakini kwenye written zisome hizo duty uzielewe moja moja uisome kiundaniYeah najua
Hujasema ni post gani mzee au mchumi?Tusome wapi haswa hapo kulingana na hizo job description duties and responsibilities. View attachment 2410190
Okay nimekusoma ngoja nifanyie kazi japo sina uhakika kama interview za Mtakwimu zinakuwa na practical test labda unifahamishe apo wizyNadhani kama watatoa prac mtakutana na SPSS au Excel lakini kwenye written zisome hizo duty uzielewe moja moja uisome kiundani
Kwenye qualifications pale walitaka watu waliosoma kozi gani?Okay nimekusoma ngoja nifanyie kazi japo sina uhakika kama interview za Mtakwimu zinakuwa na practical test labda unifahamishe apo wizy
Waliosoma hesabu na takwimuKwenye qualifications pale walitaka watu waliosoma kozi gani?
Waliosoma hesabu na takwimu
Okay sawa ngoja tujiandae humohumoOkay sawa kama wangeweka na computer science wangeweka prac lakini huwezi jua jiandae kwa vyote maana takwimu lazima ujue vizuri zile analytical tools zote vizuri na Excel uijuwe hasa
Okay sawa ngoja tujiandae humohumo
Sawa ngoja nijitaidi kufanya ivo maana mikando Yao sio poaFresh soma na yadarasani sasa kama ulisom hesabu tafuta notes za statistics usome zile ndani mule Kuna na mambo ya uchumi yasome vizuri wanaweza kuyatoa
Ndio mkuu hujakosea ni hiyohiyo mchumi II, MDA NA LGAHujasema ni post gani mzee au mchumi?
Ngoja wadau waje wakupe muongozo mzee au kichwa kikitulia nitajaribu mzee nioneNdio mkuu hujakosea ni hiyohiyo mchumi II, MDA NA LGA
Nisubiri sana miongozo humu, maana mkando WA psrs unauma mno angalau ukiwa na mwanga unaishiNgoja wadau waje wakupe muongozo mzee au kichwa kikitulia nitajaribu mzee nione
tatizo watu hawasemi ingawa wana experience nazoNisubiri sana miongozo humu, maana mkando WA psrs unauma mno angalau ukiwa na mwanga unaishi
Huu nao ugonjwa mwingine bongo hapatatizo watu hawasemi ingawa wana experience nazo