😁😁😁😁Yamekuwa hayo tena?Nmeghairi kusoma mana nasoma hadi nasahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁Yamekuwa hayo tena?Nmeghairi kusoma mana nasoma hadi nasahau
Njoo tusome wote😂Nmeghairi kusoma mana nasoma hadi nasahau
Jobless mwenzangu kila siku unaniwahi nakuni overtakeNjoo tusome wote😂
Jobless mwenzangu kila siku unaniwahi nakuni overtake
Unanionea sana kwenye hizi harakati za utelezi 🤣🤣 mwanasheria umembeba na mhasibu naye ndugu yangu tugawane basi😂😂😂😂😂kazi nisipate hata utelezi nao nikose mzee?nafanya juhudi hahhh
Bro unajipigia sana mapande, vijana wanasema unajipakulia tu minyama...Njoo tusome wote😂
😂😂😂mwanasheria atanifunga bure aseeh anahela yule nitamuwezea wapi Bora wewe unakazi ,nasikia umenunua kasubaru mzeeUnanionea sana kwenye hizi harakati za utelezi 🤣🤣 mwanasheria umembeba na mhasibu naye ndugu yangu tugawane basi
😂😂😂😂😂Hahhhhhh nimemwambia aje tusome afu hatakiBro unajipigia sana mapande, vijana wanasema unajipakulia tu minyama...
Ziweke kwa kiingereza cha watakwimu afu zitume ili watu wakusaidie kiurahisi ukiziweka hivyo watu wanaona uvivu kuanza kutranslateMwenye idea apo niguse sehem gani
Sawa ngoja nitranslateZiweke kwa kiingereza cha watakwimu afu zitume ili watu wakusaidie kiurahisi ukiziweka hivyo watu wanaona uvivu kuanza kutranslate
Nimeagiza Crown 👑 mzeee. 🚗😂😂😂😂
😂😂😂mwanasheria atanifunga bure aseeh anahela yule nitamuwezea wapi Bora wewe unakazi ,nasikia umenunua kasubaru mzee
Sijui ningeita "Prok" maana kigugumizi kilitangulia.
Pale tulipokuwa tumekaa/tumesimama kwenye Tent mida ya mchana, mliitwa mkaanza kuitana na kuelekea upande wa Magharibi, mlitokea kwenye kale kaCafe mkatupita hapo mbele, mkawa mnaitana. Kuna wanaume walikuwa wamekaa nyuma ya Tent mmoja akaenda kuwaita, mimi muda huo ninapiga jicho la ukweli nikiwaza na kuwazua kuwa "Prok ni yupi hapa"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Placement haitoki Leo watu wapo bize na usail mkuuWazee wa placement mpooooo
Weeee naijua iyooooo[emoji23]Njoo tusome wote[emoji23]
Hapo naona wattoa pamoja na hizi saili za NAOT na HELSBPlacement haitoki Leo watu wapo bize na usail mkuu
STATISTICIAN II.Ziweke kwa kiingereza cha watakwimu afu zitume ili watu wakusaidie kiurahisi ukiziweka hivyo watu wanaona uvivu kuanza kutranslate
😂😂😂😂Njoo tusome achana na mambo yakujua hahhhh utakosa kazi hivi hivi na uwezo unao wakupata 😂Weeee naijua iyooooo[emoji23]