Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwenye idea apo niguse sehem gani
 

Attachments

  • Screenshot_20221108-074647.jpg
    Screenshot_20221108-074647.jpg
    31 KB · Views: 10
Sijui ningeita "Prok" maana kigugumizi kilitangulia.

Pale tulipokuwa tumekaa/tumesimama kwenye Tent mida ya mchana, mliitwa mkaanza kuitana na kuelekea upande wa Magharibi, mlitokea kwenye kale kaCafe mkatupita hapo mbele, mkawa mnaitana. Kuna wanaume walikuwa wamekaa nyuma ya Tent mmoja akaenda kuwaita, mimi muda huo ninapiga jicho la ukweli nikiwaza na kuwazua kuwa "Prok ni yupi hapa"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahaha, Mkuu kuwa na amani. Wanawake watafutaji wanaofanya biashara sana mtandaoni wengi huwa ni wembamba. Kwa sababu hiyo Prok ni yule uliyemuona mwembamba, nadhani ni muda sasa wa kumsimulia vizuri wizy ajue chakufanya.
 
Ziweke kwa kiingereza cha watakwimu afu zitume ili watu wakusaidie kiurahisi ukiziweka hivyo watu wanaona uvivu kuanza kutranslate
STATISTICIAN II.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
1/. To design and develop National statistical system.
2/. To construct statistical procedures general and Sampling statistical system.
3/.To collect, analyse and dissemination statistical information at upper levels.
4/.To do other works assigned by supervisors.
 
Back
Top Bottom